Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

Boyfriends zangu nao wana tabia kama zako ndio mana hata last seen nimeamua kuhide siku hizi

Sasa last seen inakuaminisha vipi kuwa alikua kaingia yeye huko WhatsApp?
Utoto tabu sana ebu tukue aseee
Naomba uniongeze kwenye orodha ya boyfriends zako. Wivu sina. Cha muhimu nipate tu haki yangu.
 
Tena utoto wa kiwango cha juu kabisa yani kutokupokea simu ndo amuache. Wonders shall never end!!

Ila umenifurahisha kwenye statement yako ya boyfriends zangu.

Cheers!!!
Boyfriends zangu nao wana tabia kama zako ndio mana hata last seen nimeamua kuhide siku hizi

Sasa last seen inakuaminisha vipi kuwa alikua kaingia yeye huko WhatsApp?
Utoto tabu sana ebu tukue aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Word, mwambie aje afanye kazi shambani kwangu sio kulia lia pesa ni sabuni ya roho aseee.
Kuna comment moja hapo umeambiwa tafuta hela,aisee unaweza ukaipuuza lkn huo ndo Ushauri wa busara sana..hawa wasichana ukiwa na hela wao ndo huwa wanaanza kukutafuta...hii tabia yenu wavulana kujitahidi kutafuta sms nzuri halafu asubuhi tu unaanza kutuma hawapendi. Hiyo sms ingekuwa ya Tigopesa,hata angekuwa kwa mwanaume angekujibu....!!

Huu ni udhaifu sana na unatokana na kukosa hela..tafuta hela uone Raha ya kuwafunua hawa viumbe...yaani hutahangaika tena kuwatafuta...!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kwa wiki mbili tayari ushajua kua no "string attached" Yani wiki mbili ushafahamu kua hupendwi sababu hajapokea simu wala kujibu sms, na Kama haitoshi umeona last seen yake.

Real gentleman huongozwa na hekima katika kusolve case kama hizo na kamwe hawaongozwi na mihemko mkuu
pale unapopenda usipopendwa...mapenzi hayalazimishwi kijana kama ni mimi ni no string attached kwisha kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa ni DEMU we muache tu..
Ila mkuu ukimwona demu anaforce sana mahusiano ya kimapenzi yawe private sana basi ujue huyo demu ni mjuvi wa mji.. Au hakupendi
 
Kwa hiyo kwa wiki mbili tayari ushajua kua no "string attached" Yani wiki mbili ushafahamu kua hupendwi sababu hajapokea simu wala kujibu sms, na Kama haitoshi umeona last seen yake.

Real gentleman huongozwa na hekima katika kusolve case kama hizo na kamwe hawaongozwi na mihemko mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
yeah.. mambo ya kuwa king'ang'anizi ya nini sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana JF

Hapa nimejaribu kuwapitishia vipande vichache kwa ufupi.. natumaini nitaeleweka

Kuna binti flani nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda kama wa wiki mbili sasa..
Nakumbuka kipindi namtongoza alinipa sharti ya kwamba asijue mtu yeyote ..hata Rafiki yangu wa karibu ambaye pia ana mazoea naye.. kwakuwa ndo ilikuwa ni mwanzo nikasema nikaushe tutajua mbele kwa mbele, ingawa nilikuwa na mashaka na tabia zake..
Mahusiano yetu yalivoendelea kuna baadhi ya watu walianza kujua taratibu na wengi walihisi..
Ila sasa leo ikiwa ni wiki ya pili nimeamka zangu kama kawaida saa 2 nikamtumia text.. Kimyaaa, saa 4 tena.. Kimyaaa, saa saba nimempigia hajapokea nikaamua niingie Whatsapp.. huko naona Last seen saa 10
Sasa mida ya saa 12 napokea namba mpya.. kidogo anapokea yeye anasema eti ooh.. naumwa ndo mana sijakucheki siku nzima..
Hapa nimemmind kichizi na sijamjibu wala nini.. na ninahisi sitakaa niongee naye tena ..

Nyinyi mnasemaje waungwana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ee Mungu tusaidie tupate ada watu warudi shule
 
Nami nakwambia kua wiki mbili sio kipimo cha kujua unapendwa au la. Kwani aliesema muishi nao (wanawake) kwa akili unadhani alikosea?

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa ahsante sana.. ila inawezekana kwa asilimia kama 70 sipendwi.. au kuna kitu alitegemea wakati tunakubaliana..

hivyo basi kama ni mtu unaeheshimu moyo wako na hisia zako kuliko kujiweka kwenye mawazo.. ni bora ufanye yatakayokujenga.. Nimeamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well, unaweza kuamua unachotaka provided msukumo wako unakutuma hivyo.

Ila uhusiano wenu bado mbichi sana na hiyo asilimia ulojipa bado mihemko inakuongoza kwa sababu kilichofanya uwaze hivyo ni Hii scenario uliyoleta na scenario hii pekee kwangu mimi hakiwezi kua kigezo cha kufanya unachotaka.

hapo nimekuelewa.. tatizo langu ni uvumilivu zero naona ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom