Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

Tushapita kote huko mkuu. Demu ukoiona kakupotezea siku au mchana mzima ujue kulikua na mwenzio huko.
Nyie watu mna kazi sana, hivi unadhan muda wote mtu atakua kashika simu mkononi akisubiri sms au calls zako.

Na wewe pia mda wote unakaa na simu mkononi standby kusubiri sms au calls. Huyo mwanamke Hana kingine cha kufanya mda wote akae na simu akisuburi kurespond calls au sms.

Hivi unafahamu ziko sababu kedekede zinazoweza kufanya mtu asiwe active kwenye simu yake, mwisho wa siku unaishia kuwaza negatively!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo basi tena

Hakuna sababu yoyote yakumfanya mtu akapoteza mawasiliano na mpenzi wake siku nzima ukitoa mgonjwa alie mahututi au aliepoteza fahamu zaidi kukusudia kwa makusudi.
 
hapo nimekuelewa.. tatizo langu ni uvumilivu zero naona ..

Sent using Jamii Forums mobile app

Msela asikuzupumbuze, huyo anaonekana ni bidada sikuzote huwa wapo kwenye kuteteana.

Mkuu hakuna hata sababu moja ya msingi yakumfanya mtu akaacha kuwasiliana na mpenzi wake kwa siku nzima isipokua ugonjwa uliomtoa fahamu. BIla ya hivo basi jua amefanya kusudi. hakuna bzy yakumfanya mtu akashindwa hata kutuma text moja. Sasa kwanini amefanya kusudi hapo ndipo utakapojibu weye.
Nina experience yakutosha na hawa mashetani mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom