Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

Kuna comment moja hapo umeambiwa tafuta hela,aisee unaweza ukaipuuza lkn huo ndo Ushauri wa busara sana..hawa wasichana ukiwa na hela wao ndo huwa wanaanza kukutafuta...hii tabia yenu wavulana kujitahidi kutafuta sms nzuri halafu asubuhi tu unaanza kutuma hawapendi. Hiyo sms ingekuwa ya Tigopesa,hata angekuwa kwa mwanaume angekujibu....!!

Huu ni udhaifu sana na unatokana na kukosa hela..tafuta hela uone Raha ya kuwafunua hawa viumbe...yaani hutahangaika tena kuwatafuta...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahsante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana JF

Hapa nimejaribu kuwapitishia vipande vichache kwa ufupi.. natumaini nitaeleweka

Kuna binti flani nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda kama wa wiki mbili sasa..
Nakumbuka kipindi namtongoza alinipa sharti ya kwamba asijue mtu yeyote ..hata Rafiki yangu wa karibu ambaye pia ana mazoea naye.. kwakuwa ndo ilikuwa ni mwanzo nikasema nikaushe tutajua mbele kwa mbele, ingawa nilikuwa na mashaka na tabia zake..
Mahusiano yetu yalivoendelea kuna baadhi ya watu walianza kujua taratibu na wengi walihisi..
Ila sasa leo ikiwa ni wiki ya pili nimeamka zangu kama kawaida saa 2 nikamtumia text.. Kimyaaa, saa 4 tena.. Kimyaaa, saa saba nimempigia hajapokea nikaamua niingie Whatsapp.. huko naona Last seen saa 10
Sasa mida ya saa 12 napokea namba mpya.. kidogo anapokea yeye anasema eti ooh.. naumwa ndo mana sijakucheki siku nzima..
Hapa nimemmind kichizi na sijamjibu wala nini.. na ninahisi sitakaa niongee naye tena ..

Nyinyi mnasemaje waungwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula mzigo. Halafu muage mwambie it's over

Pole ndugu mapenz tunayapenda ila yanaboa Sana [emoji31][emoji31][emoji31]

Nilikuanae mimi rafiki yako wa karibu.
 
pale unapopenda usipopendwa...mapenzi hayalazimishwi kijana kama ni mimi ni no string attached kwisha kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom