walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,853
- 5,697
Mkuu achana nae wanawake wapo wengi sana ambao wanaitaji kuolewa uyo ni chenga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kaka ..nishapita zangu mbeleMkuu achana nae wanawake wapo wengi sana ambao wanaitaji kuolewa uyo ni chenga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi mkuu hakuna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa mtumwa wa mapenzi isitoshe kwa mwanaume aifai kabisa
nimeuchukua huu ushauri.. Ahsante sanaSafi mkuu hakuna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa mtumwa wa mapenzi isitoshe kwa mwanaume aifai kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
haahahah kwelii ...nimeona tuu vidalili.. na najua hakuna demu wa peke yangu
[emoji23] sema kumuita mwanamke wako dem sijui hili neno huwa linasound vipi kwangu.... Labda kukulia ikungulyabashashi napo ni shida.....
[emoji23] sema kumuita mwanamke wako dem sijui hili neno huwa linasound vipi kwangu.... Labda kukulia ikungulyabashashi napo ni shida.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nakwambia usimtafute tenaHabari zenu wana JF
Hapa nimejaribu kuwapitishia vipande vichache kwa ufupi.. natumaini nitaeleweka
Kuna binti flani nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda kama wa wiki mbili sasa..
Nakumbuka kipindi namtongoza alinipa sharti ya kwamba asijue mtu yeyote ..hata Rafiki yangu wa karibu ambaye pia ana mazoea naye.. kwakuwa ndo ilikuwa ni mwanzo nikasema nikaushe tutajua mbele kwa mbele, ingawa nilikuwa na mashaka na tabia zake..
Mahusiano yetu yalivoendelea kuna baadhi ya watu walianza kujua taratibu na wengi walihisi..
Ila sasa leo ikiwa ni wiki ya pili nimeamka zangu kama kawaida saa 2 nikamtumia text.. Kimyaaa, saa 4 tena.. Kimyaaa, saa saba nimempigia hajapokea nikaamua niingie Whatsapp.. huko naona Last seen saa 10
Sasa mida ya saa 12 napokea namba mpya.. kidogo anapokea yeye anasema eti ooh.. naumwa ndo mana sijakucheki siku nzima..
Hapa nimemmind kichizi na sijamjibu wala nini.. na ninahisi sitakaa niongee naye tena ..
Nyinyi mnasemaje waungwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Demu anakuaga mwanamke ambae anapita tu. Angekua anampenda angemuita gf wake[emoji23] sema kumuita mwanamke wako dem sijui hili neno huwa linasound vipi kwangu.... Labda kukulia ikungulyabashashi napo ni shida.....
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani shule hujaenda bado? wenzio washaripoti mashuleniiHabari zenu wana JF
Hapa nimejaribu kuwapitishia vipande vichache kwa ufupi.. natumaini nitaeleweka
Kuna binti flani nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda kama wa wiki mbili sasa..
Nakumbuka kipindi namtongoza alinipa sharti ya kwamba asijue mtu yeyote ..hata Rafiki yangu wa karibu ambaye pia ana mazoea naye.. kwakuwa ndo ilikuwa ni mwanzo nikasema nikaushe tutajua mbele kwa mbele, ingawa nilikuwa na mashaka na tabia zake..
Mahusiano yetu yalivoendelea kuna baadhi ya watu walianza kujua taratibu na wengi walihisi..
Ila sasa leo ikiwa ni wiki ya pili nimeamka zangu kama kawaida saa 2 nikamtumia text.. Kimyaaa, saa 4 tena.. Kimyaaa, saa saba nimempigia hajapokea nikaamua niingie Whatsapp.. huko naona Last seen saa 10
Sasa mida ya saa 12 napokea namba mpya.. kidogo anapokea yeye anasema eti ooh.. naumwa ndo mana sijakucheki siku nzima..
Hapa nimemmind kichizi na sijamjibu wala nini.. na ninahisi sitakaa niongee naye tena ..
Nyinyi mnasemaje waungwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
kiasi fulani ina make senseDemu anakuaga mwanamke ambae anapita tu. Angekua anampenda angemuita gf wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo inavyotakiwa
Dah! Hiyo avatar yako mkuu...walahi mtoto hatumwi dukani.Hii ni moja ya kauli ya kijinga sana lakini sijui kwa nini imekuwa kauli mbiu
Sent using Jamii Forums mobile app