Demu wa kihaya ananipagawisha

Demu wa kihaya ananipagawisha

we balance equation kama ifuatavyo...
Input=Output halafu maji ya kutosha mwilini ni poa zaidi. jijengee tabia ya kunywa maji ya kutosha.
kwa usiku kila ukishtuka fungua jokofu chukua maji kunywa...ukimaliza kungonoka kabla hujapitiwa na usingizi gonga maji.
kifupi rudisha yaliyotoka..,

Well said.. Na mimi nimepata darasa from you.
 

hello mmu maniacs



mko poa watu wangu wa ukweli.


Mwezi wa kumi mtoto wa kihaya mkali tukaanza ku date baada ya kumtongoza kwa siku chache...lol sasa huyu manzi anapenda sex kupita maelezo...yaani akija gheto nikimfungulia 2 anaanza na romance mwisho tunamalizana...nikimpakia kwenye gari lazima atake hata nimpe kidogo yaani ni sex kila tuendepo....tuwe kwenye kochi tuwe bafuni yaani ni mwendo wa kung'onoka mpaka imekua too much......najua sex is good but too much sex is not good maana hata nguvu za miguu zimeanza kuniashia now days.....kwani kwa hesabu za haraka haraka tumeshafanya sex si chini ya mara 50 ndani ya kipindi cha miezi miwili tu......washikaji wa karibu waliniambia kabila hilo ndio walivyo wanapenda sana dudu kwahiyo nisipo mpa dozi basi atatafuta kwa wengine so niendelee kukaza tu mwazo mwisho...ila nikifikiria kuhusu afya yangu nachoka kabisa....ila mtoto mtamu sana


jamany hebu leteni way forward
hizi stori zimezidi hiki ni kizazi cha ngono khaa
 
Hujamwelewa. Kasema "Mwezi uliopita nilipata mtoto wa kihaya" halafu kafanya "sex si chini ya mara 50 ndani ya kipindi cha miezi miwili tu" Kwa hiyo kampata mwezi uliopita kwa maana October ila ndani ya miezi miwili ya October kafanya zaidi ya mara 50 tu. Hesabu sikusoma ila hapa naona kuna kosa

Mara 50 ndani ya miezi miwili, yaani siku 60. ina maana angalau bao moja daily na una siku kumi humfanyi.. Bado unalalamika!

DHAIFU.........
 
Kama angekunyima ungelalamika vile vile, kweli nimeamini kuwa binadamu upenda kile ambacho hakipo (Always man want what is not).

Kama hukutaka hiyo kitu kwa huyo dada wa kihaya si ungeendelea kuchat tu na dada zako.

Upuuzi mtupu
 
Stori ya kusadikika. ingawa inaweza kuwa imewatokea baadhi ya watu
 
Sista mi mwenyewe nilipata demu wa kiburushi! yaani mkiwa na kideti hata kama yuko kwenye siku zake blidi inayeyuka

hahaha Bujubuji nimecheka mpaka nimepaliwa. sasa mkitaka kudoo na hali hiyo mlikuwa mnafanyaje? duuuh
 
Last edited by a moderator:
Hujamwelewa. Kasema "Mwezi uliopita nilipata mtoto wa kihaya" halafu kafanya "sex si chini ya mara 50 ndani ya kipindi cha miezi miwili tu" Kwa hiyo kampata mwezi uliopita kwa maana October ila ndani ya miezi miwili ya October kafanya zaidi ya mara 50 tu. Hesabu sikusoma ila hapa naona kuna kosa


Mkuu tuchukulie Mdau alimpata huyo Manzi October tarehe moja, leo ni tarehe 29 November...
Tunaweza kabisa ku-assume kuwa mdau na huyo Manzi yake wana Siku 59 za mahusiano yao na wameshagongana mara Hamsini. Ina maana mdau alikuwa na likizo siku tisa tangu ajuane na huyo manzi.. Sasa analalamika kuzidiwa....

DHAIFU....!
 

Hello MMU Maniacs



Mko poa watu wangu wa ukweli.


Mwezi wa kumi mtoto wa kihaya mkali tukaanza ku date baada ya kumtongoza
kwa siku chache...lol sasa huyu manzi anapenda sex kupita
maelezo...yaani akija gheto nikimfungulia 2 anaanza na romance mwisho
tunamalizana...nikimpakia kwenye gari lazima atake hata nimpe kidogo
yaani ni sex kila tuendepo....tuwe kwenye kochi tuwe bafuni yaani ni
mwendo wa kung'onoka mpaka imekua too much......najua sex is good but
too much sex is not good maana hata nguvu za miguu zimeanza kuniashia
now days.....kwani kwa hesabu za haraka haraka tumeshafanya sex si chini
ya mara 50 ndani ya kipindi cha miezi miwili tu......washikaji wa
karibu waliniambia kabila hilo ndio walivyo wanapenda sana dudu kwahiyo
nisipo mpa dozi basi atatafuta kwa wengine so niendelee kukaza tu mwazo
mwisho...ila nikifikiria kuhusu Afya yangu nachoka kabisa....ila mtoto
mtamu sana


Jamany hebu leteni way forward

Utamu wa huyo manzi na afya yako unavijua wew, kama vp think twice
 

Hello MMU Maniacs



Mko poa watu wangu wa ukweli.


Mwezi wa kumi mtoto wa kihaya mkali tukaanza ku date baada ya kumtongoza kwa siku chache...lol sasa huyu manzi anapenda sex kupita maelezo...yaani akija gheto nikimfungulia 2 anaanza na romance mwisho tunamalizana...nikimpakia kwenye gari lazima atake hata nimpe kidogo yaani ni sex kila tuendepo....tuwe kwenye kochi tuwe bafuni yaani ni mwendo wa kung'onoka mpaka imekua too much......najua sex is good but too much sex is not good maana hata nguvu za miguu zimeanza kuniashia now days.....kwani kwa hesabu za haraka haraka tumeshafanya sex si chini ya mara 50 ndani ya kipindi cha miezi miwili tu......washikaji wa karibu waliniambia kabila hilo ndio walivyo wanapenda sana dudu kwahiyo nisipo mpa dozi basi atatafuta kwa wengine so niendelee kukaza tu mwazo mwisho...ila nikifikiria kuhusu Afya yangu nachoka kabisa....ila mtoto mtamu sana


Jamany hebu leteni way forward

Picha mkuu
 
Back
Top Bottom