bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,360
Hello MMU Maniacs
Mko poa watu wangu wa ukweli.
Mwezi uliopita nilipata mtoto wa kihaya mkali tukaanza ku date baada ya kumtongoza kwa siku chache...lol sasa huyu manzi anapenda sex kupita maelezo...yaani akija gheto nikimfungulia 2 anaanza na romance mwisho tunamalizana...nikimpakia kwenye gari lazima atake hata nimpe kidogo yaani ni sex kila tuendepo....tuwe kwenye kochi tuwe bafuni yaani ni mwendo wa kung'onoka mpaka imekua too much......najua sex is good but too much sex is not good maana hata nguvu za miguu zimeanza kuniashia now days.....kwani kwa hesabu za haraka haraka tumeshafanya sex si chini ya mara 50 ndani ya kipindi cha miezi miwili tu......washikaji wa karibu waliniambia kabila hilo ndio walivyo wanapenda sana dudu kwahiyo nisipo mpa dozi basi atatafuta kwa wengine so niendelee kukaza tu mwazo mwisho...ila nikifikiria kuhusu Afya yangu nachoka kabisa....ila mtoto mtamu sana
Jamany hebu leteni way forward
Nyie wanaume ndiyo mwisho wa siku mnalogwa na kama siyo kuuawa yaani ndani ya miezi umeshazini nae mara 50 kwa hiyo kwa mahesabu ya haraka kuna siku mlikuwa mkizini mara 3, sasa umchakaze hivo then umuache eti umepata mwingine wa kuoa, pia na sisi wanaume unakuja kukutana na dada kama huyo anakuambia oooh nilikuwa na boyfriend mmoja tu duuuuuuuuu Mungu atusaidie wote