Ukubwa wa makalio hauhusiani na uwezo wa kufikiri, akili au tabia ya mwanamke. Ubongo upo kichwani, na ukubwa wa matako hauonyeshi kiwango cha akili ya mwanamke.
Kama ukiilenga tabia badala ya maumbile, Basi ni kweli wanawake wengi wenye matako makubwa wanajivunia mwonekano wa nje kiasi cha kudhani unaweza kuchukua nafasi ya akili.
ILA SASA KWANINI PICHA IMECHORWA HII