figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,557
- 62,121
<br />nimemind sana mtoto mkali ananitabasamia halafu rafiki baya limenibania linamwambia aachane na mimi halafu limeniangalia kwa pozi!hivi ni kweli midemu mibaya inaringa au ni wivu tu kwasababu hawatokewi?nimemind sana leo....
wanawake wabaya wanakuwaje?
Hili tukio nadhani lilitokea Mlimani city,Slipway au Steers hahaha! jina lako tu limetupa picha u mtu wa aina gani.nimemind sana mtoto mkali ananitabasamia halafu rafiki baya limenibania linamwambia aachane na mimi halafu limeniangalia kwa pozi!hivi ni kweli midemu mibaya inaringa au ni wivu tu kwasababu hawatokewi?nimemind sana leo....
Ha ha ha! playa playa kama anahang sana na rafiki yake piga cross watu wacheke na nyavu.Wanawake hawapendi sana dume muuza sura,wanaona kama una madharau(I support them),if you are humble and respectful huwezi kuchukiwa na rafiki zake.Hili tukio nadhani lilitokea Mlimani city,Slipway au Steers hahaha! jina lako tu limetupa picha u mtu wa aina gani.
Sisi wakubwa zako miaka hiyoo likitokea tatizo kama hili unatafuta rafiki yako anamtokea huyo 'kiherehere limited' kukupa muda wa wewe kuweka mambo sawa na huyu mkare wetu.
nimemind sana mtoto mkali ananitabasamia halafu rafiki baya limenibania linamwambia aachane na mimi halafu limeniangalia kwa pozi!hivi ni kweli midemu mibaya inaringa au ni wivu tu kwasababu hawatokewi?nimemind sana leo....
Hana mpya huyu asitushughulishe,ebu aweke na yeye pic yake tumuone,yule anaewambia wenzie wabaya ukiona sura yake,utashanga kumbe anajisema mwenyewe.
Natamani kumuona dada yako...
Wewe ni muuza sura wa ukweee! Daaah!..tamani kuona mademu zangu naowachukua bila kuhonga
Mdogo wangu unaniangusha sasa kumbe we ng'asti a.k.a. mario ? wakubwa zako tunahisi faraja kuhonga sasa weye unajisifu kwa kuhongwa na manzi ??tamani kuona mademu zangu naowachukua bila kuhonga
Mdogo wangu unaniangusha sasa kumbe we ng'asti a.k.a. mario ? wakubwa zako tunahisi faraja kuhonga sasa weye unajisifu kwa kuhongwa na manzi ??
ha ha ha ha nadhani amesahau ule msemo toto baya zuri kwa *****We kweli unachekesha kwanza lugha umetumia mbaya sana unaonyesha na wewe ni m-baya sana eti m-baya umemuumba wewe?!
kama kioo na dadako zako wanadanganya watakuwa wamenipatia sana!naamini hata kama mtu hater hawezi sema mimi mbaya labda kuonyesha chuki atasema mimi wa kawaida!
Hapa umeonyesha upeo wa fikira zako.acha utot*
pole!namshukuru mungu kunipa muonekano huu......tafuta kiungo chako kizuri nawe ujivunie kama hauna kaununue dukani!
Taadab'!
Mbaya wewe unaweza kumuumba kama huyo?
hatupo class mojacrap!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!