Demokrasia ni utawala wa walio wengi. Sensa inaonyesha Tanzania wengi vijana inakuwaje viongozi wa vyama vya siasa na serikalini na bunge vizee ngwe?

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,218
4,631
Demokrasia ni utawala wa walio wengi .Sensa ya watu Tanzania inaonyesha Tanzania wengi vijana inakuwaje viongozi wa vyama vya siasa na serikalini na bunge vikongwe?

Vyama vyote kuanzia CCM, Chadema, UDP, CUF nk vimejaa vizee vikongwe vya kiume na kike ripoti za sensa vinasoma au la? Kujua walio wengi ni nani kwenye ripoti za sensa wawapishe wawape vyeo

Vizee vibibi na vibabu vipishe vijana washike .Demokrasia ni utawala wa walio wengi kuanzia vyeo watawala wanatakiwa watoke kundi la walio wengi sio wachache Vyama vyote vya siasa wengi vijana iwe CCM, Chadema, CUF, UDP nk lakini vizee vikongwe vya kike na kiume vimeng'ang'ania kuongoza majority ambao ni vijana kama riport za sensa zinavyoonyesha
 
Kama Vijana wanajitambua kuwa idadi yao ndiyo kubwa, WAANZISHE VYAMA VYAO, washindane na hivi Vyama vinavyoongozwa na Wazee.

Wasije kutegemea kupewa uongozi na Vyama ambavyo vimeanzishwa na Wazee.

Waunde Vyama vyao, na kwa kuwa ni wengi, wahamasishane, na mwisho wa siku, wapigiane KURA, ili washike usukani wa Nchi.
 
Uko sahihi vyama vyote viongozi wote vizee vibibi na vibabu iwe CCM akina Samia akina Kinana nk au Chadema vizee kina Mbowe na lisu na akina Godbless Lema na akina Heche nk au UDP vizee akina Cheyo au CUF vibabu akina Lipumba
 
Demokrasia ni utawala wa walio wengi .Sensa ya watu Tanzania inaonyesha Tanzania wengi vijana inakuwaje viongozi wa vyama vya siasa na serikalini na bunge vikongwe?

Vyama vyote kuanzia CCM, Chadema, UDP, CUF nk vimejaa vizee vikongwe vya kiume na kike ripoti za sensa vinasoma au la? Kujua walio wengi ni nani kwenye ripoti za sensa wawapishe wawape vyeo

Vizee vibibi na vibabu vipishe vijana washike .Demokrasia ni utawala wa walio wengi kuanzia vyeo watawala wanatakiwa watoke kundi la walio wengi sio wachache Vyama vyote vya siasa wengi vijana iwe CCM, Chadema, CUF, UDP nk lakini vizee vikongwe vya kike na kiume vimeng'ang'ania kuongoza majority ambao ni vijana kama riport za sensa zinavyoonyesha
Vijana hamko serious kabisa these days

Ni kubet, ngono, na kulalama
 
TANZANIA INA VIJANA WAJINGA WAMEAMUA KUANZISHA UCHAWA
 
Wazee wananafasi kubwa kwenye vyama.kamavile kushauli nk.
Tatizo wazee wa vyama vyetu hivi walio wengi waganga wa kienyeji tu.wakiona kijana ana akili sana wanamloga wanahakikisha wanaweka watoto wao na wajukuuzao tu. Kwenye nafasi na tasisi muhimu.
 
Pamoja na Mfumo mbovu wa kupiga kura na Mizengwe mingi pia Vijana wetu hawa akili zao ziko Michezoni zaidi na Kamari.

Tuwe tunaambiana ukweli.
 
Tanzania ni nchi yenye vijana dhaifu na akili ndogo sana kwaio usiwategemee kwenye mambo siriazi.
 
Maana ya “demokrasia ni utawala wa walio wengi” ni kuwa walioko madarakani, yaani viongozi, ni wale waliochaguliwa na idadi kubwa ya wananchi (wapiga kura). SIO kielelezo cha aina za watu walioko nchini (demography).

Hao vijana wengi ndio wanaowapigia kura nyingi hao wagombea “vikongwe” kwa kuwaona ni bora zaidi kuwa viongozi wao kuliko vijana wenzao.

Ingekuwa viongozi nchini wanaakisi (reflect) demography ya nchi basi tungetarajia wanawake ndio wawe wengi zaidi katika uongozi.

Umesikia majuzi kiongozi wa wanawake wa chama fulani akiwashauri wanawake wasipigie kura wanaume kwenye uchaguzi ujao. Basi na wewe washauri vijana wasichague “vikongwe” kuwa viongozi.
 
Wengi ni wanawake sio vijana, rekebisha kwanza hapo ndio tuendelee
 
Population ya wazee nchi hii ni ndogo sana kuwa na influence kwenye uchaguzi

Let alone kwamba wkenye wanawake kuna vijana wa kike wengi zaidi kuliko wazee

Keypoint…. Vijana ndio wanaowachagua viongozi

Sisi wazee namba hazitoshi
 
Demokrasia ni utawala wa walio wengi .Sensa ya watu Tanzania inaonyesha Tanzania wengi vijana inakuwaje viongozi wa vyama vya siasa na serikalini na bunge vikongwe?

Vyama vyote kuanzia CCM, Chadema, UDP, CUF nk vimejaa vizee vikongwe vya kiume na kike ripoti za sensa vinasoma au la? Kujua walio wengi ni nani kwenye ripoti za sensa wawapishe wawape vyeo

Vizee vibibi na vibabu vipishe vijana washike .Demokrasia ni utawala wa walio wengi kuanzia vyeo watawala wanatakiwa watoke kundi la walio wengi sio wachache Vyama vyote vya siasa wengi vijana iwe CCM, Chadema, CUF, UDP nk lakini vizee vikongwe vya kike na kiume vimeng'ang'ania kuongoza majority ambao ni vijana kama riport za sensa zinavyoonyesha
Hao wazee wamefanikiwa kuwageuza vijana kuwa chawa, wamefanikiwa kuua hata wale exceptional youth ambao wangekuja kuwa mwanga. Wamefanikiwaje? Wavute kwenye siasa, wape pesa kidogo na ahadi hewa kwisha habari
 
Kama Vijana wanajitambua kuwa idadi yao ndiyo kubwa, WAANZISHE VYAMA VYAO, washindane na hivi Vyama vinavyoongozwa na Wazee.

Wasije kutegemea kupewa uongozi na Vyama ambavyo vimeanzishwa na Wazee.

Waunde Vyama vyao, na kwa kuwa ni wengi, wahamasishane, na mwisho wa siku, wapigiane KURA, ili washike usukani wa Nchi.
Mfumo wa Elimu unaweka mazingira butu kwa vijana kujihusisha na siasa au uongozi wa nchi yao. Elimu ya uraia sio muhimu katika shule na vyuo. Hivyo tusitarajie kuona mwamko mkubwa katika siasa kutoka kwa vijana. Mungu atusaidie
 
Hao wazee wamefanikiwa kuwageuza vijana kuwa chawa, wamefanikiwa kuua hata wale exceptional youth ambao wangekuja kuwa mwanga. Wamefanikiwaje? Wavute kwenye siasa, wape pesa kidogo na ahadi hewa kwisha habari
Pesa humilikiwa uzeeni, nyerere alikuwa rais ana miaka 36, umasikini uliisha? Au ndio ulipamba moto
 
Demokrasia ni utawala wa walio wengi .Sensa ya watu Tanzania inaonyesha Tanzania wengi vijana inakuwaje viongozi wa vyama vya siasa na serikalini na bunge vikongwe?

Vyama vyote kuanzia CCM, Chadema, UDP, CUF nk vimejaa vizee vikongwe vya kiume na kike ripoti za sensa vinasoma au la? Kujua walio wengi ni nani kwenye ripoti za sensa wawapishe wawape vyeo

Vizee vibibi na vibabu vipishe vijana washike .Demokrasia ni utawala wa walio wengi kuanzia vyeo watawala wanatakiwa watoke kundi la walio wengi sio wachache Vyama vyote vya siasa wengi vijana iwe CCM, Chadema, CUF, UDP nk lakini vizee vikongwe vya kike na kiume vimeng'ang'ania kuongoza majority ambao ni vijana kama riport za sensa zinavyoonyesha

Sasa vijana wa siku hizi hata katiba hawezi kudai uongozi mtapata vipi?

Acheni utoto daini katiba bila hivyo kila siku mtawasikia samia, Kikwete, mwinyi na karume kwenye uongozi

Mnasubiri huruma😂
 
Back
Top Bottom