Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
utapigwa tu ......
umeandika maelezo mengi lakn pumba tupu.ninapata wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri,SIO KAZI YA USALAMA WA TAIFA KAMA SIO WA CCM KUTUCHAGULIA VIONGOZI.VIONGOZI HUCHAGULIWA NA WATAWALIWA KUPITIA SANDUKU LA KURA.Na hao tiss na vyombo vyote vya usalama walikuwa wapi wakati pesa za EPA,KAGODA ZINAIBIWA? walikuwa wapi wakati mafisadi wanaiba twiga wetu na kuwapeleka uarabuni? biashara ya unga na majangili unataka kutuambia wahusika hawajulikani? wengi wa wanausalama hao unaowakingia kifua wanashirikiana na mafisadi wa ccm kuhujumu taifa huku wewe ukitaka wasisemwe hadharani? leo hii usalama wa taifa umegeuka kuwa uhujumu wa taifa.acha kujifedhehesha kwa vijipropaganda vya kipumbafu.
Toka uanze kula buk7 za Lumumba akili yako imevurugika sana... OOK vipi GESI inatoka haitoki?Inapofikia wakati wa kutulazimu kusimama na kuongea ukweli daima lazima tutasimama na kuzungumza ukweli huo pasi na hofu ya kuogopa kutukanwa,kubezwa,kudharauliwa na kupachikwa kila aina ya majina kutoka kwa hao wanaojidai wana hubiri demokrasia.
Siku zote nimekuwa naiduru durusu katiba ya chadema,kitu kikubwa hapo mwanzao kilichokanipelekea niweze kuipa nafasi chadema fikran mwangu hata kabla bado sijaamua kuifatilia kwa undan ni KATIBA YAO,nilipokawa naingalia katiba yao kwa kweli niligundua ina utofauti mkubwa sana na ile ya CCM kwa mambo mengi,ilijpambanua kweli kweli kuwa ni MKOMBOZI HASA WA WATANZAIA,hapo mimi nikaamua kuwatilia maanani na kufatilia siasa zao na kuunga maono yao,hasa lilipokuja suala la UTAWALA WA MAJIMBO NA KUSHUSHA MADARAKA HADI NGAZI YA CHINI KWA WANANCHI,
LAKINI NAONGEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA KABISA NA WATANZANIA WENZANGU NAOMBA MNIZINGATIE,
NAJUA WAPO WATAKAOKUJA NA HOJA ZA KUNIITA LUMUMBA,MKANDA,MKABILA NA MCHOCHEZ LAKINI POTOLEA MBALI MIMI MISIMIMAMO YANGU IKO WAZI HUMU TOKEA NAINGIA KWENYE JUKWAA HILI NA KILA MWENYE FIKRA HURU ANALITAMBUA HILI,NILIAMUA KWA DHATI YANGU KUWA MSHABIKI WA SIASA ZA CHADEMA KWA KUWA NAJUA MIMI ADUI YANGU MKUBWA NI CCM,NA KATIKA CHAMA AMBACHO NIMEAPA KUJA KUTOKUKISAME MILELE DAIMA MAISHANI MWANGU NI CCM,SO NILIAMUA KABISA KUSHABIKIA CDM KWA KUJUA KWAMBA HAWA JAMAA NDIO MWARUBAIN WA KUIDONDOSHA CCM,KWNGU MIMI ILIKUWA LIWALO NA LIWE ILI MRADI CCM IANGUKE MADARAKANI TUANZE UPYA,NA BADO HADI KWA SASA HUONDIO MSIMAMO WANGU,LAKINI M'BADALA WA HAYO SIWEZ TENA KUAMINI KUWA NI CHADEMA,
KWANIN NASEMA TUSIAMINI NA KUWAPA NAFASI CHADEMA KAMA M'BADALA??
1.Chadema kinajimbanua kuwa hiki ni chama cha demokrasia,mimi niliamin hivyo na watanzania wote tuliamin hivyo,
lakin uhalisia ulivyo hakuna demokrasia ndan ya chama hiko,HUWEZ UKAHUBIRI DEMOKRASIA UKASHINDWA KUWEKA UKOMO WA UONGOZ NDAN YA TAASISI YA KIDEMOKRASIA,UKIULIZA NI KWANIN JIBU LINAKUJA KILA NAFASI NDAN YA UONGOZ WA CHAMA HAINA UKOMO,NA MTU ATAENDELEA KUONGOZA AS LONG AS ANAKUBALIKA NA WENGI NDAN YA CHAMA NA ILI MRADI UONGOZ WAKE NI IMARA NA HAUNA KASORO BASI AENDELEE KUONGOZA CHAMA...!!
HIYO NI DEMOKRASIA GANI??WANA TOFAUTI GANI NA MUSEVENI AU ROBERT MUGABE??KAMA NDAN YA CHAMA HUO NDIO MSIMAMO WAO WAKIPEWA NCHI ITAKUAJE??HILO LA KWANZA,
2.Chadema kimekuwa ni chama kinachopandikiza uhasama baina yake na TAASISI kuu za serikali ambazo ziko imara kulinda usalama wa taifa hili,wanadhan nani atawaamin na kuwapa dhamana ya kuongoza TAIFA ili hali wanapandikza chuki baina ya chama chao na vyombo vya TAIFA??
--- CHADEMA KILA SIKU INAITUKANA USALAMA WA TAIFA NA KUSEMA NI UMEKUWA KIBARAKA WA CCM,USALAMA WA TAIFA DHAIFU,USALAMA WA TAIFA WEZI,USALAMA WA TAIFA WANASHIRIKIANA NA MAFISADI KUHUMUJUMU TAIFA HILI NA KADHALIKA,
INAWEZEKANA IKAWA NI KWELI,SASA TUKIUWAULIZA USHAHID UKO WAPI JUU YA HAYO ILI TUAMIN HAWANA,SASA UNADHAN WATU HAWA TUKIWAPA NCHI ILI HALI TAASISI NYETIKAMA USALAMA WA TAIFA WAO WANAONA KUWA NI OPPONENT WAO KISIASA TUNAWEZA KUWA SALAMA??HATA KAMA WAO WANAONA HAWARIDHKI NA USALAMA WA TAIFA KWA NIN WASITUMIE NJIA STAHIKI KUZUNGUMZA NAO AU KUWASHITAKI KWA WATANZANIA KWA HOJA NA FACT NA USHAHID BILA KUWAKEJELI NA KUWATUKANA??UNADHAN NA HAO USALAMA WANAWEZA KUWA RADHI NA KUWAPA HAWA CHADEMA RIDHAA YA KUONGOZA TAIFA??
----CHADEMA KILA SIKU IKO KWENYE MALUMBANO NA JESHI LA POLISI.
Nakubali jeshi la polisi kuna wakati linaziingua na ni kero kubwa sana ndan ya taifa letu,
Kwa rushwa,kutowajibikia,kupemdelea CCM,kuchukua maamuz ya ukandamizaji na kadhalika,.hata SISI WATU WA KUSINI NI WAHANGA WA JESHI HILO,
Lakini kinachonishangaza ni kwa chadema kuwafanya jeshi hilo kuwa maadui zao wa wazi wazi kias cha kufikia hata kutaman kupigana nalo hasa pale wanapooona linakwena kinyume na matakwa yao,
Jeshi la polisi kama chombo cha serikali katika nch yyte daima wao hutii mamlaka ya serikali iliyoko madarakani,lakin tuseme ukweli kwamba kuna wakati wao kama wanadamu huwa wanachoka na mamlaka hizo na kuwa tayari kwa mabadiliko hasa kwa chama ambacho wanahisi kinaweza kuwa mtetezi wa haki na maslahi yao,sasa chadema kwanin kinajiingiza kwenye malumbano na jeshi hilo na kuacha kuonesha kuwa wao ni mkombozi wao??
Unadhan jeshi la polisi linaweza kuwa radhi kuiona chadema inachukua hatamu za uongozi??hilo haliwezekani hata kidogo...
----Na hapa karibun Chadema kilishajionesha kuingia kwenye utata hata na jeshi la wananchi wa tanzania na kusema ni jeshi bovu,jeshi lililoegemea CCM na kuacha kusimama kwenye utaifa na kadhalika,
Ni kweli kabisa,sisi wana kusini ni wahanga wa jeshi hili,na tumepewa vipigo vya kila aina hasa pale tulipoonesha tunasiama kupignia matumiz mazur ya RASIMALI GESI,lakin hatukuwahi kuthubutu kusimama na kulitukana jeshi hilo kwa kuwa tunajua wao pia hupewa AMRI na serikali iliyopo madarakani ambayo,ni ya CCM,
lakini kwa kuwa wao ni wanadamu kama sisi ukweli wanaujua,tunajua kwamba itafikia wakati hata wao wataichoka CCM na kuwa tayari kwa mabadiliko,kwahiyo kama wakiona chama chenye uelekeo ni chadema daima hawawez kuacha kukiunga mkono,lakini cha kushangaza chadema nao wamekuwa ni mahasimu wa jeshi hilo huku wakiamin siku moja wanaweza kuchukua uongozi wa taifa hili na kuilendesha jeshi hilo hilo wanalolitukana,hiyo inaingia vipi akilini??
Just to mention but a few of them hiyo ni katika kuonesha ni kwa namna gani chadema isivyopaswa kuamiminiwa na kupewa TRUST ya moja kwa moja kuongoza TAIFA HILI,
Yani ni watu flan ambao wapo na mission na vision zilizojificha na zisizoeleweka.
3.UKANDA,UDINI NA UKABILA
Mara nyingi ninaposoma katiba ya chadema hakuna sehemu naposoma kuwepo kwa vipengele vinavyohubiri ukanda,udini na ukabila ndan ya chama hiko,
Yan kwa ufupi sio itikadi za chadema kwa katiba yao kutukuza ukanda,udini na ukabila,
Hapo mwazo CUF ilivyokawa ipo juu miaka kadhaa iliyopita CCM ilikuja na propaganda ya udini kwa watanzani,na kusema kwamba chma hiko nii cha waislam na hivyo watanzania tusikiamin kwani kitakuja kuvuruga nchi,wengi tuliamin propaganda zile,na niseme wazi tuh hadi leo wapo wengi wanaziamin propanganda zile tena wengi wao ni wanachadema,
Sio mara moja wala mara mbili mimi nimeshawahi kukejeliwa humu ndan na wanachadema na kuniambia mimi sio chadema,niache kuyananga nanga mambo ya chadema na niende kwa waislam wenzangu CUF,sishangai hilo kwani tunatofautiana mawazo,
Nilirudishe hilo kwa Chadema,CCM wakaja tena na propaganda kama hiyo kwa CHADEMA,
CCM wakasema kwamba CHADEMA ni wakanda,wakabila na wadini,mimi nikawa nalifatilia hilo kwa umakin wa hali ya juu huku nikilinasibisha na propaganda zile za CUF,
Lakini kwa masikitko makubwa mimi naweza kusema kwamba nashawishika kuamin na propaganda zile kuwa ndan ya CHADEMA KUNA SIRI NZITO KUHUSU UKANDA,UDINI NA UKABILA,
KUJIUZULU KWA SAID ARFI NA KUSAKAMWA NA KWA ZITTO KABWE NA KITILA MKUMBO NAKUFANANISHA NA MADHILA YALIYOKAMPATA MAREHEMU CHACHA WANGWE NASHAWISHIKA KUAMINI KUWA KUNA HALI YA UTATA KUHUSU HILO NA AMBAYO INAPASWA KUMULIKIWA TOCHI YENYE MWANGA MKALI,
KATIBA YA CHADEMA HAIHUBIRI UDINI,UKANDA NA UKABILA,
LAKINI TUNAPIMA MAHUSIANO YA CHAMA HIKO NA PHILOSOPHIA HII YA UKANDA,UDINI NA UKABILA TUKIUNGANISHA DOTS TUNAPATA UKAKASI SANA KUAMIN KWAMBA WAO CHADEMA WANAWEZA KUKAA MBALI NA HILO,WENZAO CUF WAMEWEZA KUKAA MBALI NA PROPAGANDA HIYO,WAO NAONA WAMESHINDWA KUIPUNCH NA INAWATAFUNA,
ANGALIA TOP LAEADERSHIP YAO IKOJE,USHAWISH NA WENYE MAMLAKA YA KUATHIRI MAAMUZI NI WATU WA NAMNA GANI??UTAPATA PICHA HALISI,KAMA KWELI WANAHITAJIKA KUKUBAKIKA NA WATANZNIA NI LAZIMA WALIKUBALI HILO NA KUBADILISHA MFUMO WAO WA MAONO NDAN YA CHAMA,KWA SASA HAKUNA WA KUWEZA TENA KUWAAMIN..
Ni Muda tuh pekee ndio utakaowahukumu chadema,na kwa sasa kila mwenye akili timamu anafaham fika kwamba hakuna demokrasia ya dhati ndan ya chama hiko,
Kikubwa kilichopo ni kutumia mwamvuli wa demokrasia na kuwapumbaza wale wasiotambua aina ya siasa wanazozifanya wao chadema.
Watanzania tulio wengi tumeshoshwa moja kwa moja na UTAWALA WA CCM,na tuliamin moja kwa moja CHADEMA ingeweza kuwa M'BADALA SAHIHI WA CCM,lakin kwa masikitko makubwa tumeona ni jins gani chama hiki kilivyotupotezea muda wetu,klivyo vunja matumain yetu na ndoto zetu kwamba ipo siku moja wangekuja kuiangusha CCM na kuiondoa madarakani.,
Wamefeli kusimamia uongoz ndan ya chama,wameshindwa kusimamia demokrasia ndan ya chama,wameshindwa kuwaunganisha wananchi wa makabila mbali mbali,wananchi wa kanda mbali mbali,wananchi wa dini mbali mbali,
Pia Chadema wameshindwa kuziunganisha taasisi nyeti tunazozitegemea watanzania katika kuongoza nchi hii na kuwashawishi kuwa wao tukiwapa ridhaa wanaweza kuongoza taifa hili watawezaje kuchukua dola na kuongoza taifa??
SHUKRANI MUNGU KWA KUTUFUNULIA HILI,NA TUNASHUKURU TUMELIONA KWA WAKATI MUAFAKA...
TEAM ZITTO...
utapigwa tu ......
It is advisable to settle down after any shock that has struck you.....then you can give what is very useful and fruitful....
Kijana analysis yako ni very poor....kwanza uchambuzi wako kwa kufuata "content analysis" kichwa cha habari hakikufaa kuwa Demokrasia....
Kitu kingine unasema suala la ushahidi wakati wewe mwenyewe hujatoa "evidence" ya kichwa cha habari hapo juu....
Suala la Zitto na Kitila ni suala la muda.....japo nawaunga mkono wasomi na wachambuzi hawa ila nakuomba relax kwanza....tafakari na kufikiri bila jazba....usiwe kama mfiwa,ambae hulaumu dereva wa ambulance,daktari,nesi na hata Muumba.
Thanks.
Na nipigwe tuh.!!
Ikibid waniCHACHAWANGWE TUH..
MAANA SASA TUMECHOKA SASA,WANAJIFANYA WANA HUBIRI DEMOKRASIA HUKU WANAIHUJUMU DEMOKRASIA HIYO HIYO??
Siku moja nilimwuliza Dk. Slaa kwamba 'Ikiwa usalama wa taifa uliopo ni dhaifu kwa kiasi cha kugawanyika na sehemu yake kuripoti kwako kama unavyodai, je Chama chako kikiingia madarakani utafikiria kufumua na kuunda upya idara ya usalama wa taifa?' Slaa alikimbia na mods wakahamisha haraka ile thread!
Ndugu m4cjb, usalama wa taifa wanatuchagulia viongozi na wana jukumu la kuilinda serikali iliyopo madarakani, kulinda taifa dhidi ya maadui wa nje na ndani pia. Ni upotofu tu kuikejeli TISS, kama ilivyo kwa taasisi zote za usalama ulimwenguni sisi raia wa kawaida tunajua na kutambua pale failure inapotokea lakini hatujui mafanikio makubwa ya kiusalama yanayotokea daily!
Na kwa timu ya uongozi hapo chadema kwa sasa sifikirii kuwa kuna TISS inaweza kutoa go ahead through Vetting1
TBS,
Ungetulia kwanza mmalize maombolezo na kuanua tanga kisha urudi kwenye jamvi.
Yaani umejichanganya na kujipinga mpaka basi. Rangi zenu, hisia zenu, malengo yenu, mipango yenu nk vyote viko wazi kama jua hivyo huwezi kuelewa maana ya neno "demokrasia". Pia kwa vile bosi wenu na washirika wenzake leo watakuwa na press conference, na kwa vile yeye ndiye mwenye kushikilia akili zenu basi msubiri halafu ufuate atakachosema 100% maana hiyo ndio aina ya demokrasia unayoijua na kuitaka.
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
Sawa tuh,who cares??
KELELE NA MIZUKA MINGI NDIVO ZILIZO IBADA ZETU SISI WALOKOLE,SO WE USITUSHANGAE SANA,TUACHE NA MAMBO YETU.
NDAN YA CHAMA TUNA UHAKIKA KWA VILE WENYE MAKALI NI NYINYI BASI VITA HII MUMESHINDA,LAKIN NDAN YA TANZANIA NA KWA WANANCHI GAME BADO MBICHI HII,NA WEWE MWENYEW UNAJUA HADI SASA MSHINDI KESHAPATIKANA,CALM DOWN UKWELI UTAFAHAMIKA TUH NA HAKI ITATENDEKA
Tunawasomeni wanachadema mnavyogawana kuni, nipo zangu kijiweni nakunywa kahawa.