Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Ukimaliza kusoma huo utumbo wako pia pitia na hii story....na useme ni lini ZZK alikanusha...

VIGOGO kadhaa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) wametajwa “kuingilia” Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), MwanaHALISI limegundua.


Hata hivyo, kuna meseji mbalimbali kuhusu udini na uamuzi wa CHADEMA kususia hotuba ya rais Kikwete ambazo zilitumwa na Zitto kwa baadhi ya wabunge wa CHADEMA ambazo zinadaiwa kuandaliwa na idara ya usalama wataifa.
Ujumbe huo unadaiwa kuandaliwa kwa ustadi mkubwa katika kukuza suala la udini na kuleta mtafaruki katika chama.

Mwanahalisi made several attempts to bring TISS out, gazeti likajaribu sana kuifanya TISS ifanye kazi out of its formalities, they were almost. Hatimaye kufungiwa kwa mwanahalisi ilikuwa ni jambo sahihi zaidi kwa policy ya usalama wetu ama sivyo ilikuwa inabidi usalama utoke nje kukanusha,kujitetea na kufanya siasa, hadi hapo TISS ingekuwa imehamishwa kiaina kutoka kwenye misingi na weledi wake kama ambavyo hata sasa Chadema wanaendelea kuweka public what they call mawasiliano ya mafisa wa usalama na hivi karibuni zaidi kusema ripoti ya siri kuhusu zitto imetengenezwa na usalama wa taifa, somehow Chadema leaders knows TISS will never respond to such allegations, kazi ni kwetu sasa wananchi!
 
Hivi wewe ni THE BIG SHOW niliyekuwa namjua mimi?? Labda miwani yangu ina vumbi.

Siamini!

Ni huyu Bwana aliyeripoti suala la gesi kwa machungu kiasi kile, leo anaamua kuunga mkono uharamia ndani ya vyama!

Mkuu THE BIG SHOW, binafsi nakuheshimu sana. Kipindi kile ulipata kujijengea heshima xma juu sana kwa reportings zako, leo unageuka kwa U-turn!

Ntakutumia Pm mkuu!
Huenda kuna mambo ambayo hayafai huku chawote!
 
Last edited by a moderator:
Dr. Slaa huwa anadhani Usalama wa Taifa ni chama cha siasa kama CCM, CUF, TLP, CHADEMA anaweza kupambamana nao majukwaani.
 
SHUKRANI MUNGU KWA KUTUFUNULIA HILI,NA TUNASHUKURU TUMELIONA KWA WAKATI MUAFAKA...

TEAM ZITTO...


Hakika UDINI UTATUMALIZA mashabiki wengi wa ZITTO kwa sasa ni VIJANA wa CUF na MACCM walio kuwa wanashabikia CHADEMA kwa kuwa tu ZITTO ni MUISLAM, But hakika 2015 tutasaga meno na kulia, hapa LOWASAA vs MEMBE huku SLAA wote WAKRISTO, Sijuhi BAKWATA NA MUJAHDINA KAMA WEWE MTAJIFICHA WAPI.
 
Peleka udini na Ukabila wako huko huko nyumbani kwako!! MDINI MKUBWA WE
 
TBS,
Ungetulia kwanza mmalize maombolezo na kuanua tanga kisha urudi kwenye jamvi.

Yaani umejichanganya na kujipinga mpaka basi. Rangi zenu, hisia zenu, malengo yenu, mipango yenu nk vyote viko wazi kama jua hivyo huwezi kuelewa maana ya neno "demokrasia". Pia kwa vile bosi wenu na washirika wenzake leo watakuwa na press conference, na kwa vile yeye ndiye mwenye kushikilia akili zenu basi msubiri halafu ufuate atakachosema 100% maana hiyo ndio aina ya demokrasia unayoijua na kuitaka.

Mkuu,sio kushikilia akili zao tu,bali pia kushikilia ruzuku zote kama muhasibu! Usihoji sana mambo madogomadogo ya fedha,bado"tunaimarisha chama,na ukiendelea basi ni msaliti"!
 
Hivi wewe ni THE BIG SHOW niliyekuwa namjua mimi?? Labda miwani yangu ina vumbi.

Siamini!

Ni huyu Bwana aliyeripoti suala la gesi kwa machungu kiasi kile, leo anaamua kuunga mkono uharamia ndani ya vyama!

Mkuu THE BIG SHOW, binafsi nakuheshimu sana. Kipindi kile ulipata kujijengea heshima xma juu sana kwa reportings zako, leo unageuka kwa U-turn!

Ntakutumia Pm mkuu!
Huenda kuna mambo ambayo hayafai huku chawote!
PakaJimmy Ndugu yangu HAKIKA HIYO YOTE NI UDINI na Inshlaah rangi zao na UNAFKI tutauona Mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
Inapofikia wakati wa kutulazimu kusimama na kuongea ukweli daima lazima tutasimama na kuzungumza ukweli huo pasi na hofu ya kuogopa kutukanwa,kubezwa,kudharauliwa na kupachikwa kila aina ya majina kutoka kwa hao wanaojidai wana hubiri demokrasia.


Siku zote nimekuwa naiduru durusu katiba ya chadema,kitu kikubwa hapo mwanzao kilichokanipelekea niweze kuipa nafasi chadema fikran mwangu hata kabla bado sijaamua kuifatilia kwa undan ni KATIBA YAO,nilipokawa naingalia katiba yao kwa kweli niligundua ina utofauti mkubwa sana na ile ya CCM kwa mambo mengi,ilijpambanua kweli kweli kuwa ni MKOMBOZI HASA WA WATANZAIA,hapo mimi nikaamua kuwatilia maanani na kufatilia siasa zao na kuunga maono yao,hasa lilipokuja suala la UTAWALA WA MAJIMBO NA KUSHUSHA MADARAKA HADI NGAZI YA CHINI KWA WANANCHI,

LAKINI NAONGEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA KABISA NA WATANZANIA WENZANGU NAOMBA MNIZINGATIE,

NAJUA WAPO WATAKAOKUJA NA HOJA ZA KUNIITA LUMUMBA,MKANDA,MKABILA NA MCHOCHEZ LAKINI POTOLEA MBALI MIMI MISIMIMAMO YANGU IKO WAZI HUMU TOKEA NAINGIA KWENYE JUKWAA HILI NA KILA MWENYE FIKRA HURU ANALITAMBUA HILI,NILIAMUA KWA DHATI YANGU KUWA MSHABIKI WA SIASA ZA CHADEMA KWA KUWA NAJUA MIMI ADUI YANGU MKUBWA NI CCM,NA KATIKA CHAMA AMBACHO NIMEAPA KUJA KUTOKUKISAME MILELE DAIMA MAISHANI MWANGU NI CCM,SO NILIAMUA KABISA KUSHABIKIA CDM KWA KUJUA KWAMBA HAWA JAMAA NDIO MWARUBAIN WA KUIDONDOSHA CCM,KWNGU MIMI ILIKUWA LIWALO NA LIWE ILI MRADI CCM IANGUKE MADARAKANI TUANZE UPYA,NA BADO HADI KWA SASA HUONDIO MSIMAMO WANGU,LAKINI M'BADALA WA HAYO SIWEZ TENA KUAMINI KUWA NI CHADEMA,

KWANIN NASEMA TUSIAMINI NA KUWAPA NAFASI CHADEMA KAMA M'BADALA??

1.Chadema kinajimbanua kuwa hiki ni chama cha demokrasia,mimi niliamin hivyo na watanzania wote tuliamin hivyo,
lakin uhalisia ulivyo hakuna demokrasia ndan ya chama hiko,HUWEZ UKAHUBIRI DEMOKRASIA UKASHINDWA KUWEKA UKOMO WA UONGOZ NDAN YA TAASISI YA KIDEMOKRASIA,UKIULIZA NI KWANIN JIBU LINAKUJA KILA NAFASI NDAN YA UONGOZ WA CHAMA HAINA UKOMO,NA MTU ATAENDELEA KUONGOZA AS LONG AS ANAKUBALIKA NA WENGI NDAN YA CHAMA NA ILI MRADI UONGOZ WAKE NI IMARA NA HAUNA KASORO BASI AENDELEE KUONGOZA CHAMA...!!

HIYO NI DEMOKRASIA GANI??WANA TOFAUTI GANI NA MUSEVENI AU ROBERT MUGABE??KAMA NDAN YA CHAMA HUO NDIO MSIMAMO WAO WAKIPEWA NCHI ITAKUAJE??HILO LA KWANZA,

2.Chadema kimekuwa ni chama kinachopandikiza uhasama baina yake na TAASISI kuu za serikali ambazo ziko imara kulinda usalama wa taifa hili,wanadhan nani atawaamin na kuwapa dhamana ya kuongoza TAIFA ili hali wanapandikza chuki baina ya chama chao na vyombo vya TAIFA??

--- CHADEMA KILA SIKU INAITUKANA USALAMA WA TAIFA NA KUSEMA NI UMEKUWA KIBARAKA WA CCM,USALAMA WA TAIFA DHAIFU,USALAMA WA TAIFA WEZI,USALAMA WA TAIFA WANASHIRIKIANA NA MAFISADI KUHUMUJUMU TAIFA HILI NA KADHALIKA,
INAWEZEKANA IKAWA NI KWELI,SASA TUKIUWAULIZA USHAHID UKO WAPI JUU YA HAYO ILI TUAMIN HAWANA,SASA UNADHAN WATU HAWA TUKIWAPA NCHI ILI HALI TAASISI NYETIKAMA USALAMA WA TAIFA WAO WANAONA KUWA NI OPPONENT WAO KISIASA TUNAWEZA KUWA SALAMA??HATA KAMA WAO WANAONA HAWARIDHKI NA USALAMA WA TAIFA KWA NIN WASITUMIE NJIA STAHIKI KUZUNGUMZA NAO AU KUWASHITAKI KWA WATANZANIA KWA HOJA NA FACT NA USHAHID BILA KUWAKEJELI NA KUWATUKANA??UNADHAN NA HAO USALAMA WANAWEZA KUWA RADHI NA KUWAPA HAWA CHADEMA RIDHAA YA KUONGOZA TAIFA??


----CHADEMA KILA SIKU IKO KWENYE MALUMBANO NA JESHI LA POLISI.
Nakubali jeshi la polisi kuna wakati linaziingua na ni kero kubwa sana ndan ya taifa letu,
Kwa rushwa,kutowajibikia,kupemdelea CCM,kuchukua maamuz ya ukandamizaji na kadhalika,.hata SISI WATU WA KUSINI NI WAHANGA WA JESHI HILO,

Lakini kinachonishangaza ni kwa chadema kuwafanya jeshi hilo kuwa maadui zao wa wazi wazi kias cha kufikia hata kutaman kupigana nalo hasa pale wanapooona linakwena kinyume na matakwa yao,
Jeshi la polisi kama chombo cha serikali katika nch yyte daima wao hutii mamlaka ya serikali iliyoko madarakani,lakin tuseme ukweli kwamba kuna wakati wao kama wanadamu huwa wanachoka na mamlaka hizo na kuwa tayari kwa mabadiliko hasa kwa chama ambacho wanahisi kinaweza kuwa mtetezi wa haki na maslahi yao,sasa chadema kwanin kinajiingiza kwenye malumbano na jeshi hilo na kuacha kuonesha kuwa wao ni mkombozi wao??
Unadhan jeshi la polisi linaweza kuwa radhi kuiona chadema inachukua hatamu za uongozi??hilo haliwezekani hata kidogo...

----Na hapa karibun Chadema kilishajionesha kuingia kwenye utata hata na jeshi la wananchi wa tanzania na kusema ni jeshi bovu,jeshi lililoegemea CCM na kuacha kusimama kwenye utaifa na kadhalika,

Ni kweli kabisa,sisi wana kusini ni wahanga wa jeshi hili,na tumepewa vipigo vya kila aina hasa pale tulipoonesha tunasiama kupignia matumiz mazur ya RASIMALI GESI,lakin hatukuwahi kuthubutu kusimama na kulitukana jeshi hilo kwa kuwa tunajua wao pia hupewa AMRI na serikali iliyopo madarakani ambayo,ni ya CCM,
lakini kwa kuwa wao ni wanadamu kama sisi ukweli wanaujua,tunajua kwamba itafikia wakati hata wao wataichoka CCM na kuwa tayari kwa mabadiliko,kwahiyo kama wakiona chama chenye uelekeo ni chadema daima hawawez kuacha kukiunga mkono,lakini cha kushangaza chadema nao wamekuwa ni mahasimu wa jeshi hilo huku wakiamin siku moja wanaweza kuchukua uongozi wa taifa hili na kuilendesha jeshi hilo hilo wanalolitukana,hiyo inaingia vipi akilini??

Just to mention but a few of them hiyo ni katika kuonesha ni kwa namna gani chadema isivyopaswa kuamiminiwa na kupewa TRUST ya moja kwa moja kuongoza TAIFA HILI,
Yani ni watu flan ambao wapo na mission na vision zilizojificha na zisizoeleweka.

3.UKANDA,UDINI NA UKABILA

Mara nyingi ninaposoma katiba ya chadema hakuna sehemu naposoma kuwepo kwa vipengele vinavyohubiri ukanda,udini na ukabila ndan ya chama hiko,
Yan kwa ufupi sio itikadi za chadema kwa katiba yao kutukuza ukanda,udini na ukabila,

Hapo mwazo CUF ilivyokawa ipo juu miaka kadhaa iliyopita CCM ilikuja na propaganda ya udini kwa watanzani,na kusema kwamba chma hiko nii cha waislam na hivyo watanzania tusikiamin kwani kitakuja kuvuruga nchi,wengi tuliamin propaganda zile,na niseme wazi tuh hadi leo wapo wengi wanaziamin propanganda zile tena wengi wao ni wanachadema,

Sio mara moja wala mara mbili mimi nimeshawahi kukejeliwa humu ndan na wanachadema na kuniambia mimi sio chadema,niache kuyananga nanga mambo ya chadema na niende kwa waislam wenzangu CUF,sishangai hilo kwani tunatofautiana mawazo,

Nilirudishe hilo kwa Chadema,CCM wakaja tena na propaganda kama hiyo kwa CHADEMA,
CCM wakasema kwamba CHADEMA ni wakanda,wakabila na wadini,mimi nikawa nalifatilia hilo kwa umakin wa hali ya juu huku nikilinasibisha na propaganda zile za CUF,

Lakini kwa masikitko makubwa mimi naweza kusema kwamba nashawishika kuamin na propaganda zile kuwa ndan ya CHADEMA KUNA SIRI NZITO KUHUSU UKANDA,UDINI NA UKABILA,

KUJIUZULU KWA SAID ARFI NA KUSAKAMWA NA KWA ZITTO KABWE NA KITILA MKUMBO NAKUFANANISHA NA MADHILA YALIYOKAMPATA MAREHEMU CHACHA WANGWE NASHAWISHIKA KUAMINI KUWA KUNA HALI YA UTATA KUHUSU HILO NA AMBAYO INAPASWA KUMULIKIWA TOCHI YENYE MWANGA MKALI,

KATIBA YA CHADEMA HAIHUBIRI UDINI,UKANDA NA UKABILA,

LAKINI TUNAPIMA MAHUSIANO YA CHAMA HIKO NA PHILOSOPHIA HII YA UKANDA,UDINI NA UKABILA TUKIUNGANISHA DOTS TUNAPATA UKAKASI SANA KUAMIN KWAMBA WAO CHADEMA WANAWEZA KUKAA MBALI NA HILO,WENZAO CUF WAMEWEZA KUKAA MBALI NA PROPAGANDA HIYO,WAO NAONA WAMESHINDWA KUIPUNCH NA INAWATAFUNA,

ANGALIA TOP LAEADERSHIP YAO IKOJE,USHAWISH NA WENYE MAMLAKA YA KUATHIRI MAAMUZI NI WATU WA NAMNA GANI??UTAPATA PICHA HALISI,KAMA KWELI WANAHITAJIKA KUKUBAKIKA NA WATANZNIA NI LAZIMA WALIKUBALI HILO NA KUBADILISHA MFUMO WAO WA MAONO NDAN YA CHAMA,KWA SASA HAKUNA WA KUWEZA TENA KUWAAMIN..

Ni Muda tuh pekee ndio utakaowahukumu chadema,na kwa sasa kila mwenye akili timamu anafaham fika kwamba hakuna demokrasia ya dhati ndan ya chama hiko,

Kikubwa kilichopo ni kutumia mwamvuli wa demokrasia na kuwapumbaza wale wasiotambua aina ya siasa wanazozifanya wao chadema.

Watanzania tulio wengi tumeshoshwa moja kwa moja na UTAWALA WA CCM,na tuliamin moja kwa moja CHADEMA ingeweza kuwa M'BADALA SAHIHI WA CCM,lakin kwa masikitko makubwa tumeona ni jins gani chama hiki kilivyotupotezea muda wetu,klivyo vunja matumain yetu na ndoto zetu kwamba ipo siku moja wangekuja kuiangusha CCM na kuiondoa madarakani.,

Wamefeli kusimamia uongoz ndan ya chama,wameshindwa kusimamia demokrasia ndan ya chama,wameshindwa kuwaunganisha wananchi wa makabila mbali mbali,wananchi wa kanda mbali mbali,wananchi wa dini mbali mbali,

Pia Chadema wameshindwa kuziunganisha taasisi nyeti tunazozitegemea watanzania katika kuongoza nchi hii na kuwashawishi kuwa wao tukiwapa ridhaa wanaweza kuongoza taifa hili watawezaje kuchukua dola na kuongoza taifa??

SHUKRANI MUNGU KWA KUTUFUNULIA HILI,NA TUNASHUKURU TUMELIONA KWA WAKATI MUAFAKA...

TEAM ZITTO...
Kwani hao tuliowapa nchi tayari kufaa kwao kuko wapi? peleka utumbo wako kule nani alikwambia wanafukuzwa kwa kugombea uongozi wa juu? madhambi yanayowatimua hutaki kuyajadili unaomboleza fikra zako binafsi na unataka watu wenye akili wakusikilize; wasafishe kwanza na tuhuma za vijisenti vya mpesa.
 
Mkuu Ritz,inakoelekea inaonekana haka ka saccos ka wanafamilia ya Mtei kanaelekea mwishoni! Hivi,ile nyumba waliopanga ya makao makuu ya saccos yao ni mali ya nani vile?
Chadema ndiyo basi tena mkuu wangu, wameyakoroga wenyewe wacha wayanywe, Wasira aliona mbali.
 
wanafki wote lazima waengeliwe, mtapiga sana kelele mwaka huu
 
Mnafiki ni kama mchawi tu.. THE BIG SHOW is a disgrace to the people of Mtwara and Lindi.. eti hatukuwahi litukana jeshi la polisi. Liars should have good memories, thread zako na posts zako zipo hapa ndani. Umenunulika tulia hukohuko... shame..
 
Last edited by a moderator:
Bigshow unahangaika sana mkuu, wewe ni KAFU ambaye ni mke wa CCM.... inashangaza sana hasa kwetu tunaopenda utaifa zaidi ya siasa mnavyoacha siasa za maana na kukomalia kujadili yanayotokea kwenye chama kichanga na kisicho na serikali kwa sasa, chama pinzani

I think people like you wanachangia sana Tanzania kuwa maskini, hakuna sera, hakuna hoja bali ni kabila, dini, gesi haitoki mtwara wakati huohuo mkipewa vitender vidogovidogo mnabadilika kama vinyonga

it makes me sick kuona watanzania tunaacha kuangalia namna ya kusaidia wajukuu zetu kimaendeleo na kukomalia matatizo ya wanandoa wawili walio na shida zao.... TALAKA YA ADUI YAKO INAKUNYIMA NINI USINGIZI?? AU NDIO YALE KA KULA MKE WA MTU HALAFU AKIACHIKA UNALALAMA KAONEWA

SIASA ZA TANZANIA KIUJUMLA NI UTUMBO MTUPU, IWE CCM, CHADEMA, KAFU NA HATA KILE CHAMA CHA MCHUNGAJI MBWABWAJO AKA MTIKILA

IMEFIKA WAKATI TUANGALIE NAMNA YA KUPUNGUZA NGUVU ZA SIASA NA WANASIASA NA TUIPE SERIKALI MENO MAKALI YA KUNYOOSHA WAPUUZI

KUNA RUMOURS KWAMBA NUSU YA SERIKALI SASA IKO BIZE KUANDAA 2015 - WHICH IS WRONG
 
Chadema ndiyo basi tena mkuu wangu, wameyakoroga wenyewe wacha wayanywe, Wasira aliona mbali.

Si mlisema hatuwezi kumng'oa kibaraka wenu, sasa ndo muisome namba, hatufanyi kazi kwa mazoea.. imekula kwenu..
 
Mnafiki ni kama mchawi tu.. THE BIG SHOW is a disgrace to the people of Mtwara and Lindi.. eti hatukuwahi litukana jeshi la polisi. Liars should have good memories, thread zako na posts zako zipo hapa ndani. Umenunulika tulia hukohuko... shame..

KUNA VI-KAZI KAPEWA BASI KABADILIKA KABISA

unafiki na njaa ni mbaya sana, kesho atajiona ni wa maana kuliko wasomi wanaoharibiwa mipango ya kujenga nchi na wanasiasa uchwara
 
Hakika UDINI UTATUMALIZA mashabiki wengi wa ZITTO kwa sasa ni VIJANA wa CUF na MACCM walio kuwa wanashabikia CHADEMA kwa kuwa tu ZITTO ni MUISLAM, But hakika 2015 tutasaga meno na kulia, hapa LOWASAA vs MEMBE huku SLAA wote WAKRISTO, Sijuhi BAKWATA NA MUJAHDINA KAMA WEWE MTAJIFICHA WAPI.
Hizo ni fikra zako sasa hivi vijana wengi wameishawashtukia Chadema wanamsubiri Lowassa wakambidhi nchi, nyie endeleeni kuota ndoto na Dr. Slaa.
 
Mkuu THE BIG SHOW , nakupongeza kwa kuonyesha nia ya dhati ya kuwa unapenda demokrasia itawale katika vyama vya siasa.
Ila Pia nikuase kuwa usipoteze muda mwingi saaana kuwafundisha hawa manunda wa CHADEMA somo la utawala bora, ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa! Hawasikii, hawaelewi, hawaoni, na hawataki kujifunza.
Duniani kote, CHADEMA ndio chama cha kwanza cha siasa ambacho muasisi na Mwenyekiti ni mtu na baba mkwe wake.
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
Nafikiri hakuna chama cha kilaghai kama cha wabakaji vitoto under 16,wauza sembe,watoa kucha,warusha mabomu,wamwagia tindikali,wauwaji wa wanyama pori hususani tembo na meno yake,waongo kwa kurubuni wananchi, hahaaaaàaaaaa eti kuchora tu meli MWAKA MZIMA duuuuu! Nlicheka sana hii kauli kutoka kwa kinana sijui kawaonaje watu waruvuma, kweli CCM wahuni ,matapeli na wanyonyaji wakubwa wa taifa hili
 
NILIAMUA KWA DHATI YANGU KUWA MSHABIKI WA SIASA ZA CHADEMA KWA KUWA NAJUA MIMI ADUI YANGU MKUBWA NI CCM,NA KATIKA CHAMA AMBACHO NIMEAPA KUJA KUTOKUKISAME MILELE DAIMA MAISHANI MWANGU NI CCM,SO NILIAMUA KABISA KUSHABIKIA CDM KWA KUJUA KWAMBA HAWA JAMAA NDIO MWARUBAIN WA KUIDONDOSHA CCM,KWNGU MIMI ILIKUWA LIWALO NA LIWE ILI MRADI CCM IANGUKE MADARAKANI TUANZE UPYA,NA BADO HADI KWA SASA HUONDIO MSIMAMO WANGU,LAKINI M'BADALA WA HAYO SIWEZ TENA KUAMINI KUWA NI CHADEMA,

KWANIN NASEMA TUSIAMINI NA KUWAPA NAFASI CHADEMA KAMA M'BADALA??

THE BIG SHOW heshima kwako. Nahisi kama hututendei haki wasomaji wa JF humu.
Unasema "uliamua kuingia CDM kwa dhati yako". Ina maana hukulaghaiwa wala kushawishiwa na mtu. Hukuweka tangazo hapa JF kuomba ushauri siku siku unaingia. Uliingia kimya kimya kwa misimamo yako...
Kwa nini leo unapotoka hutoki kimya kama ulivyoingia? Yes, umeona humo ndani hakuko kama ulivyodhani, kwa nini unataka kuwashawishi wengine ambao nao wameingia kwa dhati zao watoke na wewe? Tuna akili timamu zilizotufanya tuiunge mkono CDM kama ulivyofanya wewe... Akili zetu timamu tutakazozitumia ama kubaki ama kutoka kama tulivyoingia, bila kushawishiwa na maneno ya mtu yeyote...
 
Back
Top Bottom