assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
mkuu soma upande wa pili wa shilingi usiwe unapende alwayz kusikia unachotaka kusikia utakuwa mlemavu wa ubongoHaya mambo ya kukopi na kuweka hapa ni noma sana, utajua vipi kama CDM kuna demokrasia au la wakati, umeshindwa kutoka nje ya boksi la CCM??? wewe ni kama kifaranga akiwa ndani ya yai, anatamani kujua kama yeye ni kuku au kenge maana wote huwa ndani ya yai, ni mpaka watoke ndo hujitaambua.
mkuu soma upande wa pili wa shilingi usiwe unapende alwayz kusikia unachotaka kusikia utakuwa mlemavu wa ubongo
Inawezekana unaipenda sana cdm vaa gwanda mkuu
toka ndani ya boksi ndo tuongeee, wewe CCM zaidi ya miaka50, kweli bado unafkiria uko sawa kuisapoti??? kwa lipi 50yearsmkuu soma upande wa pili wa shilingi usiwe unapende alwayz kusikia unachotaka kusikia utakuwa mlemavu wa ubongo
hapo umejib hoja unaenda kulala eti kurugenzi ya habari!! hembu jibu hoja
Demokrasia kwake ni kuona press conferences za 'wanaCHADEMA' zinaandaliwa na kusimamiwa na CCM.
Au mikutano ya hadhara inayodaiwa kuwa ya kupigania demokrasia ndani ya CHADEMA kuandaliwa na CCM, ikiwemo kwa kuhonga vijana ili waje kwa wingi huku wahutubiaji wakijivika ngozi ya u-CHADEMA!
Au demokrasia kwake huyu mwandishi ni kutukana na kueneza propaganda za CCM dhidi ya CHADEMA za udini, ukabila na ukanda, hadharani na sirini.
Humu kuna watu ambao mahaba yamekithiri...tutaona mwisho wake!!