Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Nakubaliana nawe lakini Nyerere alikuwa ni kiongozi tofauti na hawa waliokuja nyuma yake. Nyerere hakuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali kama waliokuja baada yake. Aliipenda Tanzania na Watanzania ukilinganisha na hawa wa awamu zilizofuata. Baba wa Taifa labda kwa makosa yaliyojiri wakati wa awamu yake akaona umuhimu wa kuwa na mfumo wa vyama vingi. Hivyo pamoja na tume iliyoundwa kupiga chini mfumo wa vyama vingi kwa kudai kwamba Watanzania waliotoa maoni wakati ule kusema ungeleta fujo na hata vita vya wenyewe kwa wenyewe yeye akaupigia debe na kusema kwamba nchi yetu imeshakomaa kisiasa na hivyo kuhitaji mfumo wa vyama vingi.

Fikiria haya madudu chungu nzima ya ufisadi wa kutisha katika awamu zilizofuata baada ya ile ya Baba wa Taifa ambayo yameugharimu sana uchumi na maendeleo ya nchi yetu. Mimi naamini kama si mfumo wa vyama vingi madudu haya yaliyojaa ufisadi wa kutisha KAMWE tusingeyafahamu hata chembe. MACCM yangeficha kuhusu rada, EPA, Richmond/Dowans, MV uozo, Nyumba za Serikali, mikataba ya madini, IPTL, SYMBION, Escrow, Kagoda, Meremeta, Uuzwaji wa NBC etc.

Ni kweli unachoongea maana yangu ni kwamba wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere hapa Tanzania ufisadi ulikuwa mdogo sana, akaja Rais Mwinyi akawa ni weakness ya kutokusanya kodi. Mambo yaliharibika wakati wa Rais Mkapa ubinafsisaji wa nyumba za serikali, NBC, mikataba mibovu ya serikali kwa migodi ya madini, shirika la posta na air tanzania kufa, alipokuja Rais Kikwete ndio mambo yakawa worse. Maana yangu ni kuwa wakati wa chama kimoja Tanzania haikuwa kama Zaire ya Mobutu ama Afrika ya kati ya Bokassa. Ukiangalia hata matumizi ya serikali wakati wa chama kimoja yalikuwa mazuri elimu na afya ilitolewa bure na nzuri.
 
Kama africa hamtaki democrasia bas nafuu ukolon wa mzungu uendelee kuliko ukoloni wa waafrica..ambao wanatumia jeshi kwa manufaa yao ya eachache..mf.Mobutu.zaire, idd amin uganda..
Nature ya mwafrica ni barbaric..mnyama katiri..wa kukomoa yaan kujiweka yey ndiye xaid ya Mungu
Ndio maana wanao imba kua hatutaki demokrasia wanapenda sn wananchi wao wawe wajinga..illiterace ili iwe rahisi
Nawakubari viongozi wapigania uhuru wa kweli kama kwame,kaunda,nyerere mandela nk lkn hawa wasasa sijui mkp,nani nkurunzinza,zuma..kukujaza mitumbo yao na watoto wao..wkt wengine hawana hata chakula wana..nikutumia jeshi kutesa raia. Hata kungoa meno ikiwezekana..ili wabak madarakan
Ni ful
 
Nakubaliana nawe lakini Nyerere alikuwa ni kiongozi tofauti na hawa waliokuja nyuma yake. Nyerere hakuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali kama waliokuja baada yake. Aliipenda Tanzania na Watanzania ukilinganisha na hawa wa awamu zilizofuata. Baba wa Taifa labda kwa makosa yaliyojiri wakati wa awamu yake akaona umuhimu wa kuwa na mfumo wa vyama vingi. Hivyo pamoja na tume iliyoundwa kupiga chini mfumo wa vyama vingi kwa kudai kwamba Watanzania waliotoa maoni wakati ule kusema ungeleta fujo na hata vita vya wenyewe kwa wenyewe yeye akaupigia debe na kusema kwamba nchi yetu imeshakomaa kisiasa na hivyo kuhitaji mfumo wa vyama vingi.

Fikiria haya madudu chungu nzima ya ufisadi wa kutisha katika awamu zilizofuata baada ya ile ya Baba wa Taifa ambayo yameugharimu sana uchumi na maendeleo ya nchi yetu. Mimi naamini kama si mfumo wa vyama vingi madudu haya yaliyojaa ufisadi wa kutisha KAMWE tusingeyafahamu hata chembe. MACCM yangeficha kuhusu rada, EPA, Richmond/Dowans, MV uozo, Nyumba za Serikali, mikataba ya madini, IPTL, SYMBION, Escrow, Kagoda, Meremeta, Uuzwaji wa NBC etc.
Angalia ufisadi wote umekuja baada ya vyama vingi vya siasa na vyama vya upinzani vimesaidia sana kugundua ufisadi huu. Tatizo lipo kwa hawa viongozi wetu wanapotawala miaka kumi kumi kila mmoja anafanya ufisadi mkubwa and then anajua anaondoka madarakani.
Huyu kiongozi wetu ameanza vizuri pamoja na mapungufu ya hapa na pale ni muhimu kwa vyama vyote kumpa ushirikiano ili asivunjike moyo kwani dhamira yake ni nzuri kwa watanzania wote. Umesikia hata ndani CCM wakilia na mabadiliko yake na tutegemee uchaguzi unaokuja vyama vya upinzani vitaongeza wabunge wengi kama ujuavyo asilimia kubwa ya wabunge walikuwa wakitumia fedha nyingi kupata ubunge.
 
Waafrika ukiwapa demokrasia, atakun.nya barabaranni halafu adai eti nipo huru (demokrasia inamruhusu). Waafrika tunafaa kwenda kwa mjeledi mpaka tukae sawa baada ya miaka 100. (2117).
** Wacha tunyooshwe vizuri kwanza
Wewe naona Kuna mpinga demokrasia ameshusha mzigo (mhar.isho) ndani ya kichwa chako. Brain cells zimekuwa replaced na chembechembe za mabaki ya Vyakula. You can't think straight because you can't.
 
Angalia ufisadi wote umekuja baada ya vyama vingi vya siasa na vyama vya upinzani vimesaidia sana kugundua ufisadi huu. Tatizo lipo kwa hawa viongozi wetu wanapotawala miaka kumi kumi kila mmoja anafanya ufisadi mkubwa and then anajua anaondoka madarakani.
Huyu kiongozi wetu ameanza vizuri pamoja na mapungufu ya hapa na pale ni muhimu kwa vyama vyote kumpa ushirikiano ili asivunjike moyo kwani dhamira yake ni nzuri kwa watanzania wote. Umesikia hata ndani CCM wakilia na mabadiliko yake na tutegemee uchaguzi unaokuja vyama vya upinzani vitaongeza wabunge wengi kama ujuavyo asilimia kubwa ya wabunge walikuwa wakitumia fedha nyingi kupata ubunge.
Apewe ushirikiano gani wakati yeye keshasema form alichukua mwenyewe?
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).

Moja ya kosa kubwa kuwahi kufanywa na sisi waafrika ni kukubali huu mfumo wa kijinga kabisa
Demokrasia ni upuuzi tu kwa jamii ambayo 90% ya watu wake wanaishi katika ujinga na umaskini mkubwa
 
Alikuwa anawapa vijembe wale wana CCM wanaodai walilala maporini kumufanyia kampeni, hiyo ndio ulipoifikisha CCM pabaya kwa kulipana fadhila.
 
Kwel kabisa Mkuu hakuna haja kwa nchi yenye wananchi maskin kama hii lakin pia inatakiwa tupate viongoz wenye uchungu na ugumu wa maisha ya watanzania na cio uchu wa Mali tu
 
Kweli kabisa wananchi waelimishwe nini maana ya Demokrasi ili wapigie kura kiongozi yeyote kutoka chama chochote ili mradi aonyeshe dhamira ya kuwatumikia vizuri watanzania.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Mawazo yako unataka CCM itawale milele? Kama ni hivyo bora CCM ifutwe na viongozi wote wa CCM waache siasa na kije chama kipya na watu wapya ndipo mfumo mpya uje lakini kuendesha Nchi kwa kutumia CCM ni laana kubwa kwani ndumba za Bashite zimemkamata Baba jesca anaendesha Nchi kwa fikra Daud Albert bashite Ukoloni wa wasukuma wawili ukiachwa uendelee kutawala pasipo uchaguzi si jela zitajaa watu waliobambkiwa kesi? Bashite anawaza kuwabambikia watu kesi mda wote endapo CCM inatawala milele magereza yayajaa watu wenye kesi bandia za kutengenezwa na Daud Bashite.
 
Kweli kabisa wananchi waelimishwe nini maana ya Demokrasi ili wapigie kura kiongozi yeyote kutoka chama chochote ili mradi aonyeshe dhamira ya kuwatumikia vizuri watanzania.
Wasukuma wawili wakoloni wamepiga marufuku mikutano ya siasa hiyo Elimu itatolewa wapi?
 
Kwel kabisa Mkuu hakuna haja kwa nchi yenye wananchi maskin kama hii lakin pia inatakiwa tupate viongoz wenye uchungu na ugumu wa maisha ya watanzania na cio uchu wa Mali tu
kwa sasa Nchi inaongozwa kikoloni ( Ukoloni) wananchi wanahaha kuomba uhuru kama 1961 toka kwa wakoloni wawili yaani Wasukuma wawili, kwa sasa ni Zidumu fikra za Msukuma chini ya ushauri wa Bashite a.k.a Maliyamungu wa enzi za idd Amin dada.
 
Alikuwa anawapa vijembe wale wana CCM wanaodai walilala maporini kumufanyia kampeni, hiyo ndio ulipoifikisha CCM pabaya kwa kulipana fadhila.
Bashite mbona hajalala porini lakini alimpiga mzee warioba lakini ndiyo mshauri mkuu wa Baba jesca?
 
wewe msenge umetoroka dozi ya ugonjwa wa akili mirembe
 
CCM iendelee tu hakuna chama cha upinzani wenye sera za maana kwa sasa. Pia hizi chagzi zinapoteza muda na pesa nyingi ambazo zinaweza kupelekwa kujenga miundo mbinu ya barabara, VIWANDa na kununua ndege zaidi.
 
hatuhitaji demokrasia tuna njaa sisi tunahitaji chakula, maji na malazi
 
hiyo title uliyo iandika imenivutia sana, ila baada ya kusoma pumba ulizoandika nasikia kichefu chefu.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Wewe IQ yako ndogo
 
Back
Top Bottom