and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,417
- 40,116
- Thread starter
- #321
Japan ya Leo imejengwa kwa KAZI TU hapa mpaka Ruzuku mnapewa na hao hao mnaowakashifu.
Demokrasia ndio imezuia bibi yake asipate panadol? Hizi akili za wapi hizi?Ujinga unao wewe kung'ang'ania demokrasia huku shangazi yako hapati hata panadol akiumwa huko Hanang'-Bashnet. Wakati huku mjini unadai demokrasia na unaishi kwa kubahatisha.
Mboe na Prof. Lipumbeer wamezaliwa miaka ya 90?Post ya vijana waliozaliwa miaka ya 90 ni rahisi sana kuzigundua!
We kama umetoka milembe, kaa na ukichaa wako ukoukoKaka umefikiria nje ya Box kabisa, Ndiyo maana tunahitaji ukichaa fulani hivi ili tuitoe Hii nchi hapa ilipo.