Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,094
- 9,261
Umri si hoja ndugu. Upinzani mnakosa hoja kwa kuwa na Viongoz makelele. Eti hukumu ilipangwa hotelin? Seriously? Personally nilikuwa CHADEMA damu lakini uongoz wa ndugu yule umeniondoa rasmi. Hamna hoja sasa mnataka huruma, haipo
Na tabu inaanzia hapo unapoona kila mtu ni upinzani.
Sasa kama ni uongo si wakanushe?