Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Waafrika tumekaa kama mizigo tu kila kitu demokrasia, ujerumani ya leo walifanya kazi kwa bidii kufikia pale. Sio kukosoa tu bali ni kufanya kazi kwa weledi na bidii kubwa.
Wewe unaijua Ujerumani au unaongea tu?
Wajerumani hawakufikia hapa walipo kwa hufanyakazi tu. Kufanya kazi Kila mtu anafanyakazi, na wakati wengine waafrika wanafanya kazi mzito zaidi.
Maendeleo yanakuja kwa Mipangilio mizuri ya matumizi ya Pesa za Uma. Hapo ndio kufanya kazi inaleta tija
 
Hakika JF mmejaa Ngumbaru. Kwa kukusaidia tu Google German under Hitler kisha urudi hapa ukiwa umeelewa ulichosoma. Shule za kata zimetuletea majanga makubwa.
 
Wewe labda umetoroka toka Mirembe unless utuambie hizo nchi zilizotawaliwa kidikteta zina maendeleo gani tofauti na zile za kidemokrasia.

Ukweli watu tunatofautiana sana kifikra na kimtizamo, eti huyu naye ana mawazo kama haya anaona achangie humu. Very shameful indeed.
 
Eti tumeletewa mfumo ambao hata hatuujui alafu tukadanganywa ndo utatutoa. Yaani watu wakae wakutengenezee limfumo LA l kukunyonga alafu we upo tu unachekelea kama zuzu, ona sasa kama ipo siku mtatoboa. Kagame nchi yake inasonga mbele wala si kwasababu ya hilo limfumo bali ni kwasababu kaweza kulikataa kwanza na ndo nchi inaendelea
Sasa waafrika wanajua mfumo upo kama sio mfumo wa ukoloni
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Wewe ni bwege Sasa chama cha upinzani kinazuiaje maendeleo wakati 80% ya wabunge ni CCM na kila siku bajeti inapitishwa. Sasa tatizo demokrasia au CCM.
 
Waafrika ukiwapa demokrasia, atakun.nya barabaranni halafu adai eti nipo huru (demokrasia inamruhusu). Waafrika tunafaa kwenda kwa mjeledi mpaka tukae sawa baada ya miaka 100. (2117).
** Wacha tunyooshwe vizuri kwanza
Nani ameshawahi kunya barabarani
 
Hakika JF mmejaa Ngumbaru. Kwa kukusaidia tu Google German under Hitler kisha urudi hapa ukiwa umeelewa ulichosoma. Shule za kata zimetuletea majanga makubwa.
Ni kweli mzee shule za Kata zimetuletea majanga.
Unazungumza usichokijua, mimi nimeshaishi Germany miaka 16 najua ninachoongea.
Kwani Hio Ujerumani ya Hitler ilikuwa na Maendeleo haya ya Leo?
 
Ni kweli mzee shule za Kata zimetuletea majanga.
Unazungumza usichokijua, mimi nimeshaishi Germany miaka 16 najua ninachoongea.
Kwani Hio Ujerumani ya Hitler ilikuwa na Maendeleo haya ya Leo?
Umejijibu mwenyewe ujerumani ya Leo ina mchango wa ADOLF HITLER (full stop)
 
Wewe ni bwege Sasa chama cha upinzani kinazuiaje maendeleo wakati 80% ya wabunge ni CCM na kila siku bajeti inapitishwa. Sasa tatizo demokrasia au CCM.
Ruzuku mnazopewa Chama cha Uchagani mnafanyia nini?
 
How old are u?
maana unaonge akama teen na hujuhi hata harakati za mageuzi nchii historia yake naamini.
Umri si hoja ndugu. Upinzani mnakosa hoja kwa kuwa na Viongoz makelele. Eti hukumu ilipangwa hotelin? Seriously? Personally nilikuwa CHADEMA damu lakini uongoz wa ndugu yule umeniondoa rasmi. Hamna hoja sasa mnataka huruma, haipo
 
Umejijibu mwenyewe ujerumani ya Leo ina mchango wa ADOLF HITLER (full stop)
Nani kakuambia Ujerumani ya Leo ina Mchango wa Hittler?
Baada ya Vita vya Dunia Ujerumani ilanza kuanzia 0. Waliosaidia sana kuijenga upya Ujerumani ni Wafanyakazi kutoka Uturuki na Italy na wenyewe Wajerumani wakiwa wasimamizi. Inaonekana hata hicho unachokisema hukijui ndio maana unabishana kibubusa. Nakubwa lililowasaidia Ujerumani kupiga Hatua ni Demokrasia. Demokrasia sio kusema unalolitaka, Demokrasia nou Uhuru wa wananchi kuhoji Serikali yao juu ya Matumizi ya Pesa na rasilimali zao kwa ajili ya maendeleo yao.
Kama hilo unalipinga unahiari Udikteta, nakupa pole sana
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Nakushauri uende sayari ya Pluto ukatekeleze hayo.Kwa dunia hii tuliopo haiwezekani...
 
Unafanya kazi na unalipa kodi, lakini ukianza kuhoji matumizi ya hyo kodi uko ktk matatizo then mjinga mmoja asiyeelewa dunia inaendaje anakuambia demokrasia haina maana.Kuna watu bongo zao zimejaa kinyesi.haiwezekani.
 
Back
Top Bottom