cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Mimi bwana nawaza mashosti zangu wako jf then hawajui km Mimi ndo nshalipuliwa sasashida ntaonekana mbea wa siri za watu looohh!
Mungu nistiri miyee!!!sasa kwenye miamala ikianza namie usinisahau dogoo!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app



usjar shos angu, na siku ya kulipuliwa wee, JF itazizima mbnaa.











