Degree with Honours

Degree with Honours

Mimi nina honor kutoka UDSM
Hii ina maana kila mwaka GPA yake imekuwa ikipanda.
Mimi nilipata sup 2 mwaka wa 1 nilipata sup.1 na mwaka wa 2 nilipata 1
Ila mwisho wa siku nilipata honor ni kutokana na GPA kupanda kila mwaka
Mwaka wa 1, GPA ilikuwa 3.5,
Mwaka wa 2 GPA ilikuwa 3.8
Mwaka wa 3 GPA ilikuwa 4.1
Honor ni kupanda kwa GPA kila mwaka
Nawasilisha
Na hii unaizungumziaje?
UDSM, first yr 3.5, second yr 3.5, third yr 3.0 na supp moja lakini kapata overall gpa 3.3 with honours
 
Unatakiwa usi-supp au kufanya special exam maisha yote ya chuo. Hizo GPA ni cosmetics tu na hutegemea na colleges sio universities ambazo ni universal.
 
Me nilipata honours. Na gpa ilikua haishuki. Nilimentain
 
Me nimepiga udsm na first year3.5,2Year3.4,na 3year 3.1 na nikapata honours. Hapa inakuaje mnaosema ni kupanda kwa gpa kila mwaka
 
[
Me ilikua inashuka na nina honours
 
Extract ya UDSM angalia kuna tofauti ya nani anapata honours degrees between thegeneral regulations na zile za College ya Sheria.

"UNDERGRADUATE PROSPECTUS 2013/2014
GENERAL UNIVERSITY UNDERGRADUATE EXAMINATION REGULATIONS pg14
12.6 The Grade Point Average (GPA) for the degree shall be computed by dividing the total score in 12.5 by the total weight obtained under 12.3 and truncating down to one decimal point.

12.7 The final classification shall be as follows:
First Class A (5.0-4.4)
Upper Second Class B+ (4.3-3.5)
Lower Second Class B (3.4-2.7)
Pass C (2.6-2.0)

12.8 Award of Honours Degree:
A degree with honours shall be awarded to a candidate obtaining a First or Second class upper division where the candidate has passed all examinations at first sitting; without supplementary examination or carry over in any particular academic year.

School of Law UDSM pg 209
16.2 The Board of Examiners shall recommend the award of a degree with honours to a candidate obtaining a 1[SUP]st[/SUP] Class, 2nd Class Upper Division or 2nd Class Lower Division where he has passed all his examinations at first sitting, meaning, without supplementary or carry over in any particular academic year."

Law Enforcement programme has an identical regulation 22.2 pg212

Sitashangaa kama kuna variation between chuo na chuo.

first yr GPA 4.0, secnd yr GPA 3.9 na third yr GPA 4.1 Pia sijawahi pata sapu hata moja from Mzumbe university. Ndo nmemaliza this year 2015 july. Je hapo nitarajie nini? A degree with honour au? nielewesheni hapo.
 
UdsL Hons degree ni kama hujawahi kupata sap na huna carry over.

Kama unabisha usiniquote bali pitia UDSM prospectus.
 
mkuu kwa nijuavyo mimi vyuo vya tz ipo hivi
4.4-5.0 first class
3.5-4.3 upper second
2.7-3.4 lower second
2.0-2.6 pass

na katika madaraja ipo hivi
A
B+
B
C
D
E
F
sasa mbona classification yako haiendan na chuo chochote hapa tz? ni system ya nchi gani hiyo

Mwenyewe nayoijua ndiyo hii hapa...mzumbe university wanatumia hii....
 
Me Nimepiga Pale Udsm mwaka wa kwanza 3.5, wa pili ,3.4 na wa tatu 3.1 na nikapewa HONOURS ya lower second.ila me hapo ukicheki nimebalance gpi mana nimecheza na3 kucha hivo vipoint point.so maintainance is among of keys
 
Nijuavyo mimi, ni kuwa degree with honour anapewa mtu ambaye ame-maintain matokeo yake kwa kupanda, yaan kwa mfano umeanza na gpa 2.7, 3.2, 3.2, 3.4, 3.5, 3.5, 3.5, 3.5
 
Back
Top Bottom