hivi wee Kaizer mbona mpaka sasa hujatuma songi lako lifanyiwe kazi hapa na majaji au hutaki kuwa miongoni mwa washiriki wa shindano hilo?
Hapo bold na hapo red hata sijakuelewa charminglady, ujumbe wako hasa ni upi niushike mpendwa?
CC Elizabeth Dominick
Nafakamia tu, sili......umenisoma? LOL
ha ha ha nimesikia watu hawatakiwi kusafiri ili kuimarisha ulinzi...
Ntakuja best!!!!!
Infwact ile dedication sio yako plz....... Pia mie siko tayari kwa Saccos mwehhhhh!!!!! :sad:
Endless Love by Lione Richie....umuendee My Only One..... Anajijuaaaaaaaaa
theme ya shindano ni ipi ladyfurahia?
ayaaaa. Ubazazi at work
Kampeni tokomeza ubazazi imezinduliwa rasmi
Hakuna sehemu nilipozungumzia SACCOS, kwani kuna kukopeshana humu kwa riba kubwa? Mi nakopaga benki tu..... hebu nidadavulie mpendwa charminglady....namwona na dogo Nicas Mtei hapa..
kabla ya kuendelea tupate tangazo kutoka kwa mdhamini wetu charminglady
thanks my son!!
amu unacheki mapenzi yetu haya!?? dah..blaaaaa!!!mm namdediketia my luv Mentor song hili:
ona hapa chini:
Mimi nataka ushirika na wewe,
ewe roho
mm nataka ushirika na wewe, tuuuu x2 wa christine shusho
na songi lingine hili hapa:
Nimekuweka mbele,
kandoni yangu,
Nimekuchagua wewe eee,
uwe wangu
wewe ni kama chemchemi
iiliyotiwa muhuri,
Ni wewe my beibe nikupendayee x2
Ivi dada ukiwa huko na kina mswati unapata chance ya kuingia humu!??
amu unacheki mapenzi yetu haya!?? dah..blaaaaa!!!
Haya wote pigeni makofi tuanze kuimba: :clap2::clap2::clap2:
Ivi dada ukiwa huko na kina mswati unapata chance ya kuingia humu!??
amu unacheki mapenzi yetu haya!?? dah..blaaaaa!!!
Haya wote pigeni makofi tuanze kuimba: :clap2::clap2::clap2:
Dada mkubwa Lugha ya Malkia hii MAJANGAAA..... Haya asante kwa kutudadavulia!!!! Karibu tena eeeh....
As long as you love me Mrembo by Nature