Debate: Education is Better than Money:

jubilant

JF-Expert Member
Feb 16, 2009
305
306
Habari JF GT
Nakumbuka tukiwa sekondari tulikuwa tunafanya debate hoja "education is better than money"
Makundi mawili tunabishania hiyo hoja: Naomba niwaulize nyie mliokuwa mnasuppot hiyo hoja tupeni mrejesho wenu tafadhali.
Nauliza bado mmeshikilia msimamo huo huo?
 
Back
Top Bottom