Mimi SINA cha kusema labda kama kuna waamuzi wengine maana deadline ilikuwa 28/01/2023 rejea maelezo ya deadline kwenye post numba 1Mimi nipo ready. Nianze?
Naanza, Hamas walishinda vita wiki ya kwanza tu na uzi niliandika, hilo anae challenge yeyote aje, iwe nyani au tumbiri, "I care the less.