Death of Bin Laden

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
4,956
6,948
Kesho usiku saa tatu discovery channel wataonesha jinsi makomandoo wa kimarekani walivyoingia nyumbani kwa Osama na kumuua.
Wadau nadhani ni vizuri kuicheki hii kitu.
 
Asante sana mkuu kwa taarifa hii. I am very interested! Waiting eagerly for the program.
 
Kesho usiku saa tatu discovery channel wataonesha jinsi makomandoo wa kimarekani walivyoingia nyumbani kwa Osama na kumuua.
Wadau nadhani ni vizuri kuicheki hii kitu.

saa tatu ya nchi gani?
 
Dah kumbe haina maana kuiangalia, lakini mi nataka kuona pale wanapomzika baharini na walivyoingia chumbani kwake, kwani hawaoneshi vipande vya real picture mkuu?

Nilishawahi kuiona hiyo video!Ni usanii mtupu uliojaa proraganda za wamarekani!Hamna la maana yeyote kwenye movie hiyo ni wizi mtupu!!
 
hiyo ni ya siku nyingi kidgo-may be wanairudia-
KITU CHA KUWAPONGEZA NI KWAMBA WALIFANIKIWA MISSION YAO
 
Kesho usiku saa tatu discovery channel wataonesha jinsi makomandoo wa kimarekani walivyoingia nyumbani kwa Osama na kumuua.
Wadau nadhani ni vizuri kuicheki hii kitu.
Lini wataonyesha ya Balali??? SITAKOSA
 
Marekani ameidanganya dunia kwa mambo mengi. Kwanza alitudanganya amefika kwenye mwezi wakati hakuna ukweli, na wafanyakazi wa NASA walikataa kuwa hawajafika na hatimaye wakauawa. Osama naye anatumiwa kutudanganya. Osama 2006 alikuwa anaumwa figo, na alikuwa anatembea na mashine ya kuchuja damu, baadaye ikajulikana kuwa amefariki dunia. Ila America anajitahidi kuipumbaza dunia kwa mengi tu.
 
Wakudanganye ww ili wapate manufaa gani mkuu. Wale jamaa wako mbali hilo inabidi ukubali. MZUNGU HANYWI MBEGE mzee.
 
Marekani ameidanganya dunia kwa mambo mengi. Kwanza alitudanganya amefika kwenye mwezi wakati hakuna ukweli, na wafanyakazi wa NASA walikataa kuwa hawajafika na hatimaye wakauawa. Osama naye anatumiwa kutudanganya. Osama 2006 alikuwa anaumwa figo, na alikuwa anatembea na mashine ya kuchuja damu, baadaye ikajulikana kuwa amefariki dunia. Ila America anajitahidi kuipumbaza dunia kwa mengi tu.

Inaumiza sana, watu tunakwepa vijiwe vya kahawa na kashata na kuja hapa jf na kukutana na watu aina yako tuliowakimbia huko!
 
secrets of Seal Team Vi

ofisa mstaafu wa Seal Team VI alisema hivi: 80% ya mafunzo ya hao jamaa ni 'mind training' 20% ni physical training ikijumuisha kuvunja matofali kwa vichwa na mbao za saipulasi kama 'makomandoo wa uwanja wa taifa' Train your mind mwana jf na utakuwa 'super human'
 
Inaumiza sana, watu tunakwepa vijiwe vya kahawa na kashata na kuja hapa jf na kukutana na watu aina yako tuliowakimbia huko!

"Sometimes people don't want to hear the truth because they don't want their illusions destroyed."
― Friedrich Nietzsche

199-Destroyed-Illusions.jpg

Soma hapa kwa maelezo zaidi. Moon landing conspiracy theories - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Back
Top Bottom