King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,685
- 68,664
Hahahaaa King Kong III umenichekesha aisee Hapo kwenye Bold naomba ujiandae kutoa ushahidi maana ugomvi wake lolUmofia kwenu ila mie sio m-nigeria kama Bujibuji mwingine
Na wala sio old kama Nyani Ngabu mwingine hata hivyo sio
Njuka kama kisoda mwengine natema ujumbe lakini simzidi AshaDii mwingine sianzishi uzi hovyo hovyo kama wafanyavyo wengine
na wala sijawahi andika uzi wa kutafuta mchumba kama Watunduru mwingine
na sijawahi mzimikia mod kama alivyofanya lara 1 mwingine ila napenda
mademu sema siwapati wazuri zaidi ya Preta mwingine sipaki powder
kama afanyavyo Muuza Sura mwingine mie rijali sio Boflo mwingine
Nacomment sana ila ma-likes wanapewa wengine
Endeleza na wewe if yuh know what i mean.....
Hahahaaa King Kong III umenichekesha aisee Hapo kwenye Bold naomba ujiandae kutoa ushahidi maana ugomvi wake lol
Umofia kwenu ila mie sio m-nigeria kama Bujibuji mwingine
Na wala sio old kama Nyani Ngabu mwingine hata hivyo sio
Njuka kama kisoda mwengine natema ujumbe lakini simzidi AshaDii mwingine sianzishi uzi hovyo hovyo kama wafanyavyo wengine
na wala sijawahi andika uzi wa kutafuta mchumba kama Watunduru mwingine
na sijawahi mzimikia mod kama alivyofanya lara 1 mwingine ila napenda
mademu sema siwapati wazuri zaidi ya Preta mwingine sipaki powder
kama afanyavyo Muuza Sura mwingine mie rijali sio Boflo mwingine
Nacomment sana ila ma-likes wanapewa wengine
Endeleza na wewe if yuh know what i mean.....
Ukitaka kuwawin labda uwa Pm wengine, ukija jukwaani kuna wenye aibu wengine
kama una pesa mtafute lara 1 mwingine, au huoni soo kushea na Filipo mwingine
ingawa kuna magonjwa mengine, yamewashinda MziziMkavu, Riwa na madokta wengine.
oh, jambo moja jingine, kuna Asprin, Mtambuzi Dark City na mababu wengine
unapompata binti mwingine, uliza kama anawajua hawa mababu wengine
akisema yes ama jibu jingine, kimbia fasta maana apo utapata malaria nyingine
usijetulilia wengine, hutapozwa na cacico wala wadada wengine!
chonga na Nicas Mtei au Erickb52 na matozi wengine, wakupe maeneo ya kujirusha na warembo wengine
ila chunga kuna werevu wengine, wanavua pete uwaone kama ma Spinster wengine
kumbe ni mabibi kama Mamndenyi na wabibi wengine, wana watoto Kongosho, King'asti na wajikuu wengine
basi mi naenda kula lunch na mke wangu Catherine na si mwingine, usimshobokee ntakutoa busha kama nlivofanya wengine!

Nilikumiss ile ile Kongosho .Hope uko poa..Afu wee King kong nyuzi zako za kushonea meli
Toka ngarusi hadi kivingine
mkubwa usiwe na fujo kama wana jf wengine,huu ni ugomvi wa waziwazi mwingineMh! aya maswali mengine, yananifanya nijiulize kama wewe sio mteja wake mwingine!!!!!:cheer2: