Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,354
Wache wakatoe kuoana dealInatia huzuni na hasira kusoma nyuzi kama hizi zinazo wajaza sifa wanawake humu JF.
Na mwisho wa siku hakuna wanachopata, nguo za ndani anavuliwa mshkaji ambae hata number yake haja save.