Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,065
- 111,660
Ona hii jirani inawaza mapenzi, nmemaanisha maokoro/mishe mishe.Unafosi kwa nani 🤣🤣🤣
Ona hii jirani inawaza mapenzi, nmemaanisha maokoro/mishe mishe.Unafosi kwa nani 🤣🤣🤣
Maneno kidogo pesa za kutosha. Usijali. Chunga tu usim spoil Lee, she always know kwamba pesa si kitu zaid ya matumizi.😂😂😂😂😂anza na vilivyopo leo😂😂 namba inayopokea hela unaijua
maneno kdg pesa ming
Na ww umeanza kuzunguka sasa 🤣🤣🤣Ona hii jirani inawaza mapenzi, nmemaanisha maokoro/mishe mishe.
sikumaanisha hayo 😂Na ww umeanza kuzunguka sasa 🤣🤣🤣
Sema usikike mfyuuuu.!!! Au unaogopa kuleta uzi utapopolewa???
Hahaha..JF ilivyo na mambo mengi unaweza kukuta mleta mada na huyo aliyefunguliwa uzi ni mtu mmoja tu.
Weer ni masikini vizinga vinahela viache vitambe na chizii wako ni mama yako maana amekuzaa masikini unanuksi yakuzaliwa na mama kichaa ndio maana huoi kazi kudanga jianaume zima lina omba vocha chefu . Sura sasa baya baya kama limepigwa na radi .Umesha logoff akaunt id yako mpya ya switi-kande? Lamomy mchukue menta wako
Achana nao japi uliniitaga malaya ila umeshapenda tulia uoe maisha nikujenga umejenga au mtaenda kupangisha unagari au ndio unatumia bolt magari ya wenzako kwa mwezi unauwezo wakuingiza sh. Ngapi rafly yaani hiyo ni ya chai tu .Punguza kufuatilia mambo yanawezekana yakawa yanakukera lakini hayakuhusu, Kama jambo unaona linakukera tafuta namna ya kulijibu sio unajibu kwa mihemko na jaziba
Eeehhhhh!!!Weer ni masikini vizinga vinahela viache vitambe na chizii wako ni mama yako maana amekuzaa masikini unanuksi yakuzaliwa na mama kichaa ndio maana huoi kazi kudanga jianaume zima lina omba vocha chefu . Sura sasa baya baya kama limepigwa na radi .
Hera huna chombo kimehendraa unaugumia kwa uchungu
Uzuri humu madaktari ni wengi, wewe ni mental case, major one.Hera huna chombo kimehendraa unaugumia kwa uchungu
Sasa mimi connection za pesa sina nategemea nimchune wizzy jirani 🤣🤣🤣sikumaanisha hayo 😂
Siwezi leta nyuzi ya hivi jirani haya ni mambo private kuyaanika kwa mtazamo wangu sio sahihi. Ni mtazamo wangu sio lazima tufanane mitazamo.
Shipina lesiu miata mbesai iata ebastola kinyii meata olbastola siangikin ekwetu eangan amu iata ebastola kinyi nijo olmusumari. Piu shomo dia lesiu. Loata engorotikUzuri humu madaktari ni wengi, wewe ni mental case, major one.
Uchawi haufanyi kazi kwenye internet. Toka huko pepo na bastola zakoShipina lesiu miata mbesai iata ebastola kinyii meata olbastola siangikin ekwetu eangan amu iata ebastola kinyi nijo olmusumari. Piu shomo dia lesiu. Loata engorotik
Hiki kimasai mtafute mmasai akutafsirie ore ilolukunya meeta onyoo shipina lesiu inapita olboxUchawi haufanyi kazi kwenye internet.
Usinichose bwana.Hiki kimasai mtafute mmasai akutafsirie ore ilolukunya meeta onyoo shipina lesiu inapita olbox