Wewe sasa ndio umefanya jambo la mbolea kumuita muhusika
M/kiti wa kamati ya roho mbaya 🤣🤣🤣ipo siku na mimi nikitaka kufanya yangu humu utanisagia kunguni nini????
![]()
😂😂 familia mna fujo.Ndo umfungulie na uzi, kwamba dm hapatoshi?
Wengi hudharaulika hivi hivi. Unashusha brand ya Familia.
Kabla ya wewe kuona huo uzi wangu ,utashangaa tu naitwa mkaka mzuri😊😊M/kiti wa kamati ya roho mbaya 🤣🤣🤣
Ila imekaa pabaya.Kwel valentine day imepamba moto.
Nimekazia kuitwa kwake, afike bila kukosa tarehe 14 sio mbali.Wewe sasa ndio umefanya jambo la mbolea kumuita muhusika
Comment Bora ya Mwaka 2024Kwanzia huu mwezi uanze naona harakati kila kona.View attachment 2897168
Ili ucheke kwa sauti 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 maxe atuwekee sehemu ya VN
🤣🤣🤣🤣 Vipi jioni imeendaje.??MAKUCHUKIAAA 😡😡😡😡
Nna walinzi wako makini watanipa taarifa tyuu!! 🤣🤣🤣Kabla ya wewe kuona huo uzi wangu ,utashangaa tu naitwa mkaka mzuri😊😊
NakaziaJF ilivyo na mambo mengi unaweza kukuta mleta mada na huyo aliyefunguliwa uzi ni mtu mmoja tu.