min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,437
- 127,811
😁😁Comment Bora ya Mwaka 2024
😁😁Comment Bora ya Mwaka 2024
😁😁 ila nyie wa chuga unaweza nizimia fegi kwenye mbupu nikizingua🙌Ila imekaa pabaya.
kuna watu watapata ugumu kuchagua wa kuspend nae jioni ya 14Feb., Mungu/ mpenzi 😂
Mimi ni ME niliyeanzisha huu uzi, Na nimeanzisha kwa matakwa yangu mwenyewe, na Sipo Desperate hata kidogo kwa sababu Siku zote huwa nachukulia mambo kwa njia yenye usawaziko. Maoni yako siyaheshimu na wala siyakubali.Sema jf Me and Ke mpo desperate sana na mahusiano mpo na stress nyingi za mahusiano kitu nimetoka kuwaambia huko selfika, alafu hii ilipaswa uandike hivi mkishakubaliana sio unamtamani unaandika hivi. Naye sababu yupo desparate atakuja hapa kucheka cheka
Huu ni utoto na ulimbukeni
Najua mnakimbiliaga kusema "natania", huwa hakuna utani unamaanisha ni vile hujiamini
Mkuu unapiga kwenye mshono😁Sema jf Me and Ke mpo desperate sana na mahusiano mpo na stress nyingi za mahusiano kitu nimetoka kuwaambia huko selfika, alafu hii ilipaswa uandike hivi mkishakubaliana sio unamtamani unaandika hivi. Naye sababu yupo desparate atakuja hapa kucheka cheka
Huu ni utoto na ulimbukeni
Najua mnakimbiliaga kusema "natania", huwa hakuna utani unamaanisha ni vile hujiamini
Usijihami hakuna nimesema maoni yangu uyakubali.Mimi ni ME niliyeanzisha huu uzi, Na nimeanzisha kwa matakwa yangu mwenyewe, na Sipo Desperate hata kidogo kwa sababu Siku zote huwa nachukulia mambo kwa njia yenye usawaziko. Maoni yako siyaheshimu na wala siyakubali.
Mkuu mimi sihusiki kabisa kwa hili👐Achana nae huyo sioni siku hizi akifuatana na Lamomy kama Kumbikumbi sijui kashajikatia tamaa au amechukulia mambo ya JF serious ameamua kuchukia mazima mpaka anakuja na reply yenye povu kama sabuni ya magadi. 😂😂😂
Nawajua vizuri, na huwa nawachana ukweli. Wanajichekesha chekesha hapo mazoea na uoga kwa mbali ili hata nafasi ya kutuma msg apewe. Hizi huwa ni stress za mahusianoMkuu unapiga kwenye mshono![]()
Sasa utanipangia cha kupost Mkuu ? Shida yako ni nini ? Mbona kama umeingia na hasira ambazo hazina sababu ? Halafu Wewe ni PhD holder halafu unakuwa na mitazamo ya hovyo nimekushusha thamani na hiyo PhD yako. Jifunze kuwa na utulivu wa akili na mawazo. Hata ukiangalia hii thread yangu ni wapi imeonyesha kama nimeelekeza hisia za mahusiano kwa huyo Mlengwa niliyemwanzishia huu uzi.Usijihami hakuna nimesema maoni yangu uyakubali.
Hii hatua hufikiwa na mtu ambae anatamani mahusano, ana stress za mahusiano ana genye ya hali ya juu. Utakataa hapa kuzuga lakini ukweli unaujua
Tulizeni kichwa, huwa ni kama hampo sawa mahangaiko yote ya nini haya?
😁😁Nawajua vizuri, na huwa nawachana ukweli. Wanajichekesha chekesha hapo mazoea na uoga kwa mbali ili hata nafasi ya kutuma msg apewe. Hizi huwa ni stress za mahusiano
Mm reply zangu siku zote kwenye ya hivi huwa kama ulivyosoma labda umeniona leo.Achana nae huyo sioni siku hizi akifuatana na Lamomy kama Kumbikumbi sijui kashajikatia tamaa au amechukulia mambo ya JF serious ameamua kuchukia mazima mpaka anakuja na reply yenye povu kama sabuni ya magadi.![]()
Mkuu pole sana yaani Wewe ni empty sana, nilionaga sehemu unamponda Roma Mkatoliki sasa Wewe unapenda kusikia au kusoma unayoyataka wewe tu ? Badirika Mzee 😂 😂 😂 😂Mm reply zangu siku zote kwenye ya hivi huwa kama ulivyosoma labda umeniona leo.
Kuhusu lamomy hilo we achana nalo hutajua lolote
Nilijua utakimbilia kusema tusichukulie serious, NI UONGO. Hili huwa ndio chaka lenu
Akisema njoo tuzungumze utasema nilikua natania?
haswaaaa😂😂Ili ucheke kwa sauti 🤣🤣🤣🤣
We hebu niachie mume wangu 🤣🤣🤣🤣Achana nae huyo sioni siku hizi akifuatana na Lamomy kama Kumbikumbi sijui kashajikatia tamaa au amechukulia mambo ya JF serious ameamua kuchukia mazima mpaka anakuja na reply yenye povu kama sabuni ya magadi. 😂😂😂
Not a problem at all , na press order soon i hope kokote huwa unatuma na percel ikafika.Ivan Stepanov eti umesema issue ya kuspend money is not a problem to you 😂😂😂oke
naomba uje ununue pochi na flats kwa ajili ya udugu wangu Leejay49
Hakuna sehemu nimekupangia, mm natoa maoni kulingana na nachosoma. Nikikiona kizuri naunga mkono, nikiona cha hovyo nakuchana. Ukichukia ni sawa. Huwa sinaga hasira bali mm huwa bold kwenye jambo naona la hovyoSasa utanipangia cha kupost Mkuu ? Shida yako ni nini ? Mbona kama umeingia na hasira ambazo hazina sababu ? Halafu Wewe ni PhD holder halafu unakuwa na mitazamo ya hovyo nimekushusha thamani na hiyo PhD yako. Jifunze kuwa na utulivu wa akili na mawazo. Hata ukiangalia hii thread yangu ni wapi imeonyesha kama nimeelekeza hisia za mahusiano kwa huyo Mlengwa niliyemwanzishia huu uzi.
eeh baba tu atuma mikoa yotee hadi nchi jiraniNot a problem at all , na press order soon i hope kokote huwa unatuma na percel ikafika.
Wafanye hivyo itakuwa bomba sana 🤣🤣haswaaaa😂😂