Dear Miss Leejay49

Dear Miss Leejay49

Yaani Wewe Jamaa ni kiazi sana, na Sipendi hata kujibizana na Wewe una tabia za hovyo hovyo naonaga hata comments za Mabinti humu huwa una criticise sana una shida gani Wewe ? Alafu eti na Wewe una ndoto ya kuja kuwa President wa Tanzania? Badirika Mzee Punguza tabia za hovyo kama huwezi na hupendi jambo likaushie tu sio unakuja na kuelekeza nini kifanyike. Halafu ipo hivi WEWE UNAPOSEMA MIMI NIKO DESPERATE NA WEWE NDIO UPO DEPERATE PRO. Kwani kum Compliment Member humu shida iko wapi ? Nilishawahi kuwaandika Member humu kutokana na michango yao na mitazamo yao mbona hukuingilia?
Lamomy huyu Baby wako ni Andazi na hauna Baby hapana Mwambie aache gubu. 🤣🤣🤣🤣
Nimepata ujumbe wako umenishambulia, nilikua sina mpango wa kuingiia humu jf leo, nipo busy. Sasa nimekuja kwa ajili yako tuliza presha twende taratibu kabla hujapoteana
 
Yaani Wewe Jamaa ni kiazi sana, na Sipendi hata kujibizana na Wewe una tabia za hovyo hovyo naonaga hata comments za Mabinti humu huwa una criticise sana una shida gani Wewe ? Alafu eti na Wewe una ndoto ya kuja kuwa President wa Tanzania? Badirika Mzee Punguza tabia za hovyo kama huwezi na hupendi jambo likaushie tu sio unakuja na kuelekeza nini kifanyike. Halafu ipo hivi WEWE UNAPOSEMA MIMI NIKO DESPERATE NA WEWE NDIO UPO DEPERATE PRO. Kwani kum Compliment Member humu shida iko wapi ? Nilishawahi kuwaandika Member humu kutokana na michango yao na mitazamo yao mbona hukuingilia?
Lamomy huyu Baby wako ni Andazi na hauna Baby hapana Mwambie aache gubu. 🤣🤣🤣🤣
Sihitaji ujibizane na mm, mm nakuweka sawa.
Unasema nacriticise comment za mabinti? Mayanza mm sio Kama ww, mm sio dhaifu. Ww unayeogopa hata kucriticise hao unaosema mabinti tu kwa kuhisi wanaweza kukuonea huruma, mayanza tupo dunia ya nipe nikupe hakuna huruma.

Sina ndoto ya kuwa raisi, labda sasa useme umejuaje nina hiyo ndoto. Na wakati naiota ww ulikua wapi?

Kama sipendi niwe nakaushia? Mayanza hilo kwangu halipo nikiona
Umeandika pumba nakutwanga

Sina uwezo wa kusoma kila post, hao uliowaandikia mm sikuona. Ningeona ningekukosoa

Mimi ni andazi? Na Hana baby hapa? Nilikuambia kuhusu lamomy hutaelewa chochote, usihangaike. Huyo na mimi ni together forever siwezi kuja kuachana nae kwa mazingira yoyote na siwezi kuja kumsema kwa jambo lolote baya. Siku hizi mbili tulikua tumetofautiana, Ila jana usiku tumeyamaliza mayanza
Na ndio ameniambia niingie leo nisome hizi porojo zako
 
Siandiki jambo ili nifurahiwe kwa sababu kila mtu ana mtazamo wake, kilichonikera ni Wewe ni kuni attack mojamoja kwamba niko Desperate umenichefua sana aiseee. Jifunze sana kuwa na tafakuri ya mambo sio kukurupuka na mihemko kama Mbuzi aliyefunguliwa asubuhi kutoka Bandani.
Nime Compliment Miss Leejay49 kwa muono wangu sijaingiza hata neno la kumtongoza au kuandika neno lenye kiashiria cha Mapenzi.
Wewe mayanza hakuna nilipokuattack mm nimekuambia kweli, yes upo desparate. Kama kukuambia ukweli ni kukuchafua basi chafuka sana
Hakuna nilipokurupuka, upo desparate na unatumia njia ndefu sana. Mayanza hizi unasema compliments ni njia za kijadi sana, punguza maneno hakuna kuonewa huruma

Mwanamke anataka financial stability sio compliments
 
Unajuaje PM Sijaenda ? Alafu na Wewe ni Andazi tu kama huyo Kantri Waidi, kum Compliment Mtu ni vibaya? au Kiingereza hujui ? Jaribu kusoma vizuri kama utaona nimeandika maneno ya kumtongoza huyu nilimwanzia huu uzi. Yaani Vijana wa humu ni wa hovyo sana. Mbona hata GENTAMYCINE kipindi kile alikuwa anampigia kampeni apewe Umalikia wa JF alikuwa anamtaka ?
Mayanza umeandika pumba lazima tukukosoe, alafu unaonekana unapenda sana kuonewa huruma.
Kwa hiyo hapo ningekusifia nisingekua andazi?
 
Huyo Baby wako wa Keyboard ni Fwalaaaaaaaaaaaaaa tu amenichefua sana halafu Mimi ni A real Man sipendagi ujinga.
Mayanza mm nitakuchefua zaidi kama hutaacha huu ujinga.
Keyboard? Huyo lamomy nimekueleza siku ya kwanza tu unachotamani hakiwezi kuwa, huyo na mimi ni together forever. Nakupa taarifa mbaya jana usiku saa Tisa tumeyamaliza yaliyokua tumetofautiana
 
Wewe na huyo genta wote akili hamna, ndio maana mnabwabwaja tu. Hapo ulikuwa unampa compliment au unamwaga sera zako? Acha ufala mbwa wewe. Mwanaume hutakiwi kuwa na shobo zisizokuwa na mipaka.

Nina uhakika 100% kwamba PM hujaenda maana courage hiyo. Na mngebahatika kukaona hako kalily kenyewe mnakokaanzishiaga nyuzi, mngetuliza mishono
Mayanza anatumia njia za kizee sana, hawa vijana genye zinawapeleka vibaya.
 
Back
Top Bottom