Dear Miss Leejay49

Dear Miss Leejay49

Huyu Countrywide ana PhD na ana ndoto za kugombea Uraisi wa URT hapo baadae, ameshindwa hata kuelewa huu uzi una maana gani ? Je huko State House ataelewa nini ? Si atakuwa kama Wakina Chief Mangungo wa Msovelo waliokuwa wanabadilishana Dhahabu/Almasi na Shanga ? 🤣 🤣 🤣 🤣
Toka juzi umekomalia nina PhD, hiyo PhD ulinipa wewe mayanza? Nimekuambia nina Diploma kutoka chuo cha uvuvi mbegani Bagamoyo

Sina ndoto ya kugombea uraisi wala hata uenyekiti wa mtaa, mbona unanihofia sana?
 
Huyu sio ananikubali, Ila ananiogopa. Ananipa hadhi nisiyokua nayo, mara nataka kugombea uraisi, mara nna PhD, hii yote ni hofu😂
Wewe unajulikana bhana mpaka Mashemeji zako wa nyuma ya Keyboard wanakuita Mheshimiwa,Sioni haja ya kuendelea kujibizana na Wewe halafu hata siku moja huwezi ukamrekebisha mtu kwa kuandika reply zako zilizojaa mihemko tena ile ya kike. Una PhD ndio kwani Uongo ? UNAJULIKANA WEWE. Jitahidi kuwa na tafakuri ya kina pale unapojaribu kum quote Mtu.
 
Hii keyboard mbona umeikomalia sana? Na hii PhD nayo mbona umeikomalia? Mayanza mimi nikiona umeandika pumba nakukosoa
 
Mayanza nimeingia kwa ajili yako huku, unanipotezea muda
Unaharibu lengo langu la kuanzisha huu uzi, na wakati nauanzisha nilimwomba Yeye mwenyewe Miss Leejay49 na akaruhusu. Hata huyo Baby wako Lamomy napitia baadhi ya contents zake nimwanzishie uzi kwa namna ambayo nitakavyoiona kutokana na kile huwa anakiandika. Na ameshanipo Go ahead
 
Back
Top Bottom