Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,564
Nishaonekana mbaya bro, ngoja niache yalivyo. Huku hutakiwi kukosoa kabisa ukiona post kama hii kazi yako ni moja uwe unasifia tu. Hata we hapo tayari unatonekana ni tatizomkuu Countrywide nakuelewa sana kiongozi ila tambua tu mtoa mada na mtolewa mada ni roho Moja.
Wenzio washashitukia hii michezo kitambo kaka. Huyu jamaa unayepambana nae Kuna ID nyingine ya kike inaitwa Nakadori ilikua inapigiwa promo na anachokosea anapita mule mule na hii ya Leejay.Ile iliitwa QUEEN OF MMU na hii walipambana iwe MISS JF (Huoni mfanano?).
ID ya nakadori bwana mayanza pia aliianzishia UZI KAMA HUU HUU na mwishowe ID ya nakadori ikatuma Uzi ambao ni Uzi wa nakadori wa mwisho maana nakadori alifurushwa na wadau wenye hasira kali 🤣 kwenye Uzi ule baada ya wadau kushitukia kuwa Uzi ule una dalili za kitapeli na kuhisi kuwa nakadori queen of MMU ni dume.
Nakadori wa mayanza alitupiwa mawe kwenye Uzi wake ule na baada ya hapo alipotea na ndipo Sasa promo zikahamia Kwa ID ya leejay fotenaa Kwa nguvu.
Angalia hizo screen shoots utaona kitu ila hiyo ni chembe tu ya chumvi baharini vipo vingi vyakuonyesha kuwa mtoa mada na mtolewa mada na baadhi ya wageni "waalikwa" hapa ni roho Moja🤣🤣 View attachment 2900729View attachment 2900731View attachment 2900732
YOU FEEL ME?🤣🤣
SAN JEN KARIZ Kichwa Kichafu Aigle DeMostAdmired @icebreaker kipara kipya NACKO Fakyuol Street College Lamomy
Nimechukua ushauri wa lamomy, case closed.