Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,241
- 86,943
🤣🤣🤣🤣 Hivi humu kuna kupeana connection zaidi ya kuitana mlimani city kukutanisha vikojoleo..??Siwezi kutoka nje ya key kabisa, na ndio maana nitapitia mabandiko yako kwanza, kuna Member humu nilimwanzishia akahojiwa na Members humu na akajielezea na carrier yake na hobbies zake nadhani alipata Connection kwenye kazi zake
Hapo umenidanganya 🤣🤣🤣
Hizo connection labda ME kwa ME
