Kwako Bibiye FaizaFoxy
Siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za CCM kwenye Field na hapa Jamvini. CCM ina makamanda wa Field wakiongozwa na Nape na siku hizi Lusinde, wamezunguka Nchi Nzima wakutueleza kwamba ROSTAM ni GAMBA lisilotakiwa CCM yaani Kuwako kwake ndani ya CCM kunaipotezea CCM Mvuto kwa Wananchi ( Magamba mengine siyazungumzii kwa sababu yamekataa kutii sauti zenu).
Makamanda wengine wa CCM wako JF hawa ni Pamoja na Wewe FF, Kishongo, MS, Rejao, Ritz, Mwita25(ambaye ameongoka na kuikana CCM) hapa JF.
Nafahamau misimamo ya Baadhi ya wanasiasa wa CCM hapa JF kuhusu Magamba mfano inafahamika kwamba Kishongo yeye haamini kwamba Rostam ni Gamba na tangu Rostam alipoamua kujivua Gamba na yeye amepunguza sana kuchangia ( Inaonekana Kishongo anaumizwa na Siasa za Makundi zilizoko CCM)
Naomba kujua Msimamo wako kuhusu ROSTAM, Je Unakubaliana na Akina Nape kwamba ROSTAM ni Mwizi, GAMBA lisilotakiwa ndani ya CCM, anyway
Unaamini kwamba ROSTAM ni GAMBA? Nataka Kufahamu Msimamo wako
Andaa kadi yangu endapo utajibu Maswali yangu vizuri niko Tayari Kuvua Gwanda Nivae GAMBA
Wako Albedo
Na nyie Pro-CDM JF Mkijibu hili swali naamia CDM..
Kwa nini mnataka Padre Slaa, hawe rais wa Tanzania?
Usilete ulegelege katika kujibu hoja, jibu kama ulivyoulizwa siyo kujibu swali juu ya swaliKwanza kabisa unasema "maswali yangu" halafu naliona swali ni moja tu. hebu jipange upya, ni maswali au swali?
Anzisha Thread nyingine umuulize Mkuu
Mfanyabiashara yeyote hatakiwi kuwa kiongozi wa CCM au serikali yake.
Babu shikamoo,
Hawe ndio nini?....kwa mfano
Kwanza kabisa unasema "maswali yangu" halafu naliona swali ni moja tu. hebu jipange upya, ni maswali au swali?
Usilete ulegelege katika kujibu hoja, jibu kama ulivyoulizwa siyo kujibu swali juu ya swali
Kikongwe na majibu rojorojo kama mwenyekiti wa chama chake!
kwanini usinge m pm au ulitaka utuongezee mada zisizo na kichwa wala miguu hapa
Nashukuru mjukuu wangu kunisahihisha..kwa nini Pro-CDM JF mnataka Padre awe rais? Jibu basi
-
Jipangeni upya, hapa mmefika, mje na swali au maswali lakini msije na "maswali" halafu mnauliza swali, Unanchekesha! Kwanza kabisa unatakiwa unaeuliza ujuwe unachokiuliza, kama unaeuliza hukijui unachouliza kama ni swali au maswali unategemea nini? jibu au majibu?
Kwako Bibiye FaizaFoxy
Siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za CCM kwenye Field na hapa Jamvini. CCM ina makamanda wa Field wakiongozwa na Nape na siku hizi Lusinde, wamezunguka Nchi Nzima wakutueleza kwamba ROSTAM ni GAMBA lisilotakiwa CCM yaani Kuwako kwake ndani ya CCM kunaipotezea CCM Mvuto kwa Wananchi ( Magamba mengine siyazungumzii kwa sababu yamekataa kutii sauti zenu).
Makamanda wengine wa CCM wako JF hawa ni Pamoja na Wewe FF, Kishongo, MS, Rejao, Ritz, Mwita25(ambaye ameongoka na kuikana CCM) hapa JF.
Nafahamau misimamo ya Baadhi ya wanasiasa wa CCM hapa JF kuhusu Magamba mfano inafahamika kwamba Kishongo yeye haamini kwamba Rostam ni Gamba na tangu Rostam alipoamua kujivua Gamba na yeye amepunguza sana kuchangia ( Inaonekana Kishongo anaumizwa na Siasa za Makundi zilizoko CCM)
Naomba kujua Msimamo wako kuhusu ROSTAM, Je Unakubaliana na Akina Nape kwamba ROSTAM ni Mwizi, GAMBA lisilotakiwa ndani ya CCM, anyway
Unaamini kwamba ROSTAM ni GAMBA? Nataka Kufahamu Msimamo wako
Andaa kadi yangu endapo utajibu Maswali yangu vizuri niko Tayari Kuvua Gwanda Nivae GAMBA
Wako Albedo
Jipangeni upya, hapa mmefika, mje na swali au maswali lakini msije na "maswali" halafu mnauliza swali, Unanchekesha! Kwanza kabisa unatakiwa unaeuliza ujuwe unachokiuliza, kama unaeuliza hukijui unachouliza kama ni swali au maswali unategemea nini? jibu au majibu?
Nijibu swali au maswali? naomba myapange hayo maswali au swali lenu, hamueleweki na nna kila haki ya kuelewa nnachoulizwa kabla ya kukijibu. Sikurupuki.
Mbona mgumu kutoa Marahaba wewe babu?
Dr Slaa anafaa na ana uwezo Wa kuwa Rais bora kuliko mtu yeyote katika CCM
Mhhh!!! Hizi ni dalili za kukosa majibu!!! Kumbe haya maswali ni magumu kiasi hiki hadi mtu anajiumauma kujibu!!?? Duh.....!!!Kwanza jipange kwa kujuwa unachokiuliza, lakini tutaanza kwa kukufunda taratibu usiwe na shaka, ili siku nyingine ukiuliza swali au maswali uelewe tofauti yake, haya anza kwa kuuliza huku ukiwa umejipanga vizuri ili ueleweke.
Nani kakwambia Ritz ni CCM? unashangaza