Umeshindwa kujibu unajizungusha tu!!
Tushajua maoni yako kuhusu misimamo ya CCM kuhusu Rostam.
Thread closed.
Hakika Amejivua Nguo na Kubaki kama alivyozaliwa sasa hata wale waliomtuma hapa Jamvini watajua Msimamo wake
Mkuu Umemaliza Kila kitu yaani
UMECONCLUDE VYEMA SANA
Unapatafuta pakuchomokea hupapati, vipi leo bosi hayupo karibu? au zege mlimaliza kumwaga jana?
Umesoma post #94? vipi hukuipenda au imekukaa kooni? Huyo ndio Rostam Aziz, "The King Maker" na kadhihirisha tena Igunga, baada ya majisifu yenu yote kuwa sasa "kura haziibiki tumedhibiti", mlipoona hamna cha kuibiwa ni porojo tu, mkaja na kisa cha msimamizi, ikajulikana mlikuja kumchukuwa wenyewe mkatoka nae, na hivi karibuni itajulikana mlimfanya nini. Na hapo ndio mtapoamuwa kuyavuwa au kuyavaa vizuri, ngojeni pilau yenu iko jikoni, kwa sasa tunakoleza viungo.
FaizaFoxy Kwisney, na bado nakuandalia Uzi Mwingine
Kweli kabisa ni nukuu yangu, tazama hapa toto la kibulushi lilivyo handsome, weka picha yako tufananishe halafu mwenyewe useme, huyu mimi nnakuambia MashaAllah, ni handsome wa sura, umbo, pochi, influence, intelligence, wewe jee? Unanchekesha.
'
Nyaronyo Kicheere katika Waraka wa Wiki ukurasa wa 15(Mwanahalisi)
kichwa cha habari 'Rostam anacheza kama Pele na kuweka mipango kama kanisa katoliki', amekushinda FF