dear amu...

nimeshindwa kabisa kuwa muumini wa mitongozo ya chit chat....... kuna wengine humu hutongozana kichit chat ,,,,,,, wakati wengine ni kweli wanamaanisha,,,,,,, na wengine ndiyo huruka kiukweli kweli.

kila la kheri mkuu .
asante bado sija kubaliwa kamanda
 
welkam bak sweetheart! We dearly missed u, ulipitwa na mengi haswaaaaaaa, ila pamoko! Mie mwenyewe siku hizi sio sana, majukumu yameongezeka!

Senkyuu dia, hivo ivo mdogo mdogo mpendwa wangu.
 
amu usisahau na mimi nina hamu!!!
 
Last edited by a moderator:

utatukondeshea kimwana wetu
yani ukamlishe maharage na mchicha tu
haiwezekani,we tafuta rasta mwenzio hakiyanani!!

thats why mi penda sana wewe mwambie huyo afu hajui wengine nyama esp ng'ombe ni tambiko mueleze baelewe bana
 
thats why mi penda sana wewe mwambie huyo afu hajui wengine nyama esp ng'ombe ni tambiko mueleze baelewe bana

ndio nishamwambia kabisaaa
akitaka mke,mwanetu uendelee
kula vinono,imani zake za kirasi asikuletee!!
 

ndio nishamwambia kabisaaa
akitaka mke,mwanetu uendelee
kula vinono,imani zake za kirasi asikuletee!!
jah!!can proved anything passion lady..ndege hawalimi hawafanyi kazi na wanaishi.am raster
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…