Deal!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Deal!.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Yegomasika, May 11, 2011.

 1. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Kwa mwenye mahitaji ya electronics stuff i.e Laptop, IPOD, IPHONE etc ingia website hii Best Buy - Computers, Video Games, TVs, Cameras, Appliances, Phones na sema unachokihitaji. Kuna mbeba box mmoja anakuja huko mwishoni mwa mwezi June, atakununulia hicho utachohitaji. Wewe utamlipa gharama ya hicho kitu plus tax, vile vile utaongezea gharama ya $100.00 kama kifuta jasho kwa kazi nzuri atakayokuwa ameifanya. Kwa maelezo zaidi waweza kuni-PM.
   
 2. A

  Akiri JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ndiyo kuna vitu ningependa kununua na ninavihitaji mapema siwezi subiri mpaka mwezi huo
   
 3. R

  Richard Nguma Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok kamanda nimekusoma vipi unasafirisha
  Container tuchangie ?
  Richard
  5015451182
   
 4. R

  Richard Nguma Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niko Arkansas
   
 5. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu nina order ya vitu vya USD 1500 nina imani charge ya 100USD haiongezeki?Vyangu havina ushuru nitume list?
   
Loading...