Deadline ya CAS- NACTE applications-2016

WADAU NAOMBENI MSAADA KWA SABABU NACTE WAMEWEKA VYUO VICHACHE NA VYUO NAVOTAKA KUAPPLY HAVIJAWEKWA KAMA DIT , UDOM, RUCO UDSM, SUA ETC NA DEADLINE INAKARIBIA KWANI SIWEZI KUSUBIRI TCU NIACHANE NA HAO NACTE?

Unataka kusoma kozi gani mkuu? mathalan SUA.
 
Ameombq IFm, ameomba ZIFA

Mkuu ni mgumu kuelewa au mbishi?! Sasa tuanzie hapo,unajua tofauti ya Institute na University?! Hvyo vyuo ulivyovitaja vyote ni Institute,so wait mpaka TCU wakifungua udahili wa pamoja ndo ataweza kuchagua Universities
 
Kwani tatizo tcu na nacte au tatizo ni university na institute
 
sasa ni vipi kama chuo nachotaka hakija wekwa NACTE maana hata mimi sielewi nina diploma nataka kujiendeleza lakini chuo nachokitaka sikioni sasa sijui chochote
Kitakuwa kipo TCU, I guess! Post #16 amejibu muulize zaidi
 
WADAU NAOMBENI MSAADA KWA SABABU NACTE WAMEWEKA VYUO VICHACHE NA VYUO NAVOTAKA KUAPPLY HAVIJAWEKWA KAMA DIT , UDOM, RUCO UDSM, SUA ETC NA DEADLINE INAKARIBIA KWANI SIWEZI KUSUBIRI TCU NIACHANE NA HAO NACTE?
DIT ipo NACTE
 
Back
Top Bottom