Kuna sehemu nyingi umeandikwa kwamba wewe ni upinde.Kitendo cha watu tu, kukumbuka mpaka jina lake kati ya members wengi waliopo Jf hiyo inaonyesha jinsi gani alivyo na impact .
Jaribu wewe Nyangwisi kukaa hata mwezi bila Kuja Jf halafu aunzishe Uzi wa kurudi kama Kuna hata mtu ataye kukumbuka , hivi sasa naKuQuote hata ID yako sijui unaitwa nani Wala haipo kichwani.
Sawa dogo karibu tena Jf.Mkuu umenikumbusha enzi hizo bado kijana wa makamo.Sahivi sina hizo habari,nilikuwa sehemu napevuka.Now Deadbody amekuwa zaidi kifikra ukilinganisha na wakati ule
Kipindi umepotea ulikuwa unafanya nini?Mkuu nilikuwa sio active hata hivyo.. but nilikuja mara moja na kupotea.Ukicheki kuanzia 2019 mpaka 2022 nilipotea na baada ya hizi nikapotea kwa miaka mitatu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Heshimu ma legend panya wewe
Pugu sio Ukonga.NIpo Ukonga ila sio madafu bali Pugu now.Karibu na Station ya SGR.. Ukija kupanda treni pitia unisalimie
Ngoja nikupe umbea.Nimekaribia mkuu.Nilikuwa naikumbuka sana JF hasa story za The Bold na Kina Mshana Jr na wengine kibao hata wapagani kina Kiranga
Sema JF mtu anaweza kupotea kulog in kwa acc...but akawa anasoma habari kama guest bila kusign in...au akawa analog in asi like chochote wala kuchangia chochote...na tukajua kuwa huyu member amepotea kumbe anawazoomJoseverest aliwahi kurudi baada ya kupotea sasa kapotea mazima .
Usijali kijana.Ila mkuu unakichwa cha kukumbuka.Hadi maeneo niliyokuwa naishi umepakumbuka
Lazima tuwanyooshw hiki kizazi cha hovyo kilichoJoin Jf juzi kuwa na heshima na wakuu .
Enzi zetu mtu unafungua akaunti unaogopa kuanzisha Uzi hata kumQoute haswa ukiwa ID mpya kutokana na heshima ya Malegend na madini yalikuwa yanashushwa unabaki kuwa mpenzi mtazamaji .
Sasa mtu kafungua akaunti Jf kwa Fujo hajui mitaa vizuri anaanza kutukana wakubwa hovyo
Walimpiga spana yule dogo.Sure mkuu nilikuwa offline muda huu 2018-2026.Ndio leo nimerudi.Hiyo 2023 nilikuja na kutoka ,sikurudi tena.Hivi Joseverest hule jamaa kila thread yeye alikuwa wa kwanza kukoment yupo ?
Celebrity wa jukwaa la elimu.Kwa sauti ya T.I.D
"Who is this guy" 😁
Warumi amefariki ulipata taarifa?Wee wa kitambo mwenzangu ,ila wee ulikuwa unashinda MMU na kina Miss chaga huko.Haikuwa rahisi kunijua
Nakubaliana na wewe kabisa,kuna namna mbili anakuja na I'd nyingine na hawa ndio wengi au anapiga kimya na usijue uwepo wake.Sema JF mtu anaweza kupotea kulog in kwa acc...but akawa anasoma habari kama guest bila kusign in...au akawa analog in asi like chochote wala kuchangia chochote...na tukajua kuwa huyu member amepotea kumbe anawazoom
Umekariri ID yangu mpaka kugundua na Kunote sehemu zote ninazo zungumziwa wakati Mimi hata jina la ID yako silijui ?Kuna sehemu nyingi umeandikwa kwamba wewe ni upinde.
Hii @ss kissing lazima tu iwe kweli.
Hiyo ni fact kabisa mkuu , Mimi Kuna kipindi , nilipanga nisitumie hii ID nipotee Jf kwa mwezi mzima niwe nasoma habari tu kama guest na nikafanya hivyoSema JF mtu anaweza kupotea kulog in kwa acc...but akawa anasoma habari kama guest bila kusign in...au akawa analog in asi like chochote wala kuchangia chochote...na tukajua kuwa huyu member amepotea kumbe anawazoom
Kwani kuna shida mzee mboni unajieleza Sana?kwani umepata tetesi kwamba kutokuwepo kwako humu kwa miaka saba kuna member alilala njaa?Mkuu nilikuwa sio active hata hivyo.. but nilikuja mara moja na kupotea.Ukicheki kuanzia 2019 mpaka 2022 nilipotea na baada ya hizi nikapotea kwa miaka mitatu
Jambo jema mkuu,kuwa nje ya mitandao kwa muda..vipi uliwezaje ? Yalikuwa ni maamuzi tu au kuna jambo lilikufanya kuwa nje ya jf kwa muda.Mimi tu peke yake nilikaa out of jf for 8 good months
Karibu nielekeze organic chemistry kwenye inductive and mesomeric effects kumbushia ulivokuwa unafundishwa na Elias KihomboBaada ya kupotea JF kwa miaka 7 hatimaye nimerudi.
Deadbody is Back