DCI: Tumemchoka Mange

Heheheh Mange bana ndugu zake atawazika kwa whatsapp
Ni heri kufanya anachofanya hata kama atazikwa huko kuliko kuwa mjinga mjinga na kusubiri kuzikwa na ndugu zako.
 
Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Malofa, wapumbavu hayo sio matusi?
 
DCI kama kweli hii ni kauli yake ...its better he steps down immediately
Dola inakiri kumchoka raia kwa lipi?
Raia wangapi dola imewachoka?
Lissu aseme ukweli upi? huu ni unafiki tena uliokithiri....hii tabia ya baadhi ya viongozi tuliowapa dhamana kujiona kama miungu watu wanaipata wapi?
Basi kwa kuwa hao wakubwa wana uwezo wa "kuwachoka"binadamu wenzao watanzania tumuachie mungu!
 
Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Polisi wanatuzuga, mhalifu wa Kitanzania anayekimbilia Uingereza anahesabika kuwa mhalifu na anaweza kurejeshwa nchini. Tatizo hapa ni kuwa pilisu hawa grounds za kumshitaki. Sana sana watamshitaki kwa uchochezi kosa ambalo wameshamshitaki Lisu mara tano lkn wameshindwa kukamilisha upelelezi hadi sasa! Ukizingati idadi ya kesi walizomfungulia Lisu na wameshindwa kuzimaliza hadi yanamkuta Lisu yaliyomkuta, utauzuiaje umma usiwaze vyovyote?

Vv
 
Mmemochaka. Kwenye ukurasa wake mnaenda kufanya nini?

‍♂️naenda zimbobo.
 
Huyu DCI amehamua kumuongezea Mange followers!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…