Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Wadau kwenye kumjua huyu,?
Je ni ndugu yake Rais mstaafu wa awamu ya nne?
Je ni ndugu yake Rais mstaafu wa awamu ya nne?
Wapi nimesema asiteuliwe?Kuwa ndugu ya Kikwete kunamuondolea mtu sifa za kuteuliwa?
Nataka nimuoeukishajua itasaidia nini?
Sio DC ni DED alikuwa DED huko Tanga,ni mtoto wa Kaka Yake alifariki Juzi juzi tu Mzee Selemani Kikwete! Kw hiyo mtoto wa kaka yake wanaefuatana!!Wadau kwenye kumjua huyu,?
Je ni ndugu yake Rais mstaafu wa awamu ya nne?
Ukijua itakusaidia nini?Wadau kwenye kumjua huyu,?
Je ni ndugu yake Rais mstaafu wa awamu ya nne?
Ni mtoto wa kaka yake Rais mstaafu!Kaka ya JK aliyefariki mwaka huu mwanzoni ndiye huyu binti yakeWapi nimesema asiteuliwe?