DC wa Kibaha, Tatu Seleman Kikwete ni ndugu wa rais mstaafu?

Wadau kwenye kumjua huyu,?
Je ni ndugu yake Rais mstaafu wa awamu ya nne?
kwanza sio DC,ni DeD,halafu uache nongwa na kikwete,kapumzika bado unamfuata fuata tu,Kwani huyu Tatu sio Mtanzania?Mbona hujahoji Ndejembi,Vita kawawa,Anthony Mavunde,kuona jina la kikwete tu,umepata tumbo la kuharisha
 
Ni mtoto wa kaka yake Rais mstaafu!Kaka ya JK aliyefariki mwaka huu mwanzoni ndiye huyu binti yake
Ni DED sio DC na aliteuliwa na baba yake mdogo JK na JPM kambakiza hapo hapo

Ni msomi mzuri tu na alikuwa mwajiriwa wa Wizara ya Elimu kabla hajapewa DED
Kateuliwa kwa haki,ana sifa zote

Hapo kwenye rangi nyekundu siyo kweli. Binadamu wa namna hiyo hajawahi kuzaliwa tangu mwanzo wa dunia hii. Ingetosha kusema tu kuwa anazo sifa muhimu zinazotosheleza kuteuliwa katika nafasi hiyo, basi.
 
cv yake tafadhali km hutojali
 
kwanza sio DC,ni DeD,halafu uache nongwa na kikwete,kapumzika bado unamfuata fuata tu,Kwani huyu Tatu sio Mtanzania?Mbona hujahoji Ndejembi,Vita kawawa,Anthony Mavunde,kuona jina la kikwete tu,umepata tumbo la kuharisha
Mkuu mi nimevutiwa zaidi na hilo jina kuliko hayo mengine

Hao wengine sijavutiwa kuwafahamu
 
Hapo kwenye rangi nyekundu siyo kweli. Binadamu wa namna hiyo hajawahi kuzaliwa tangu mwanzo wa dunia hii. Ingetosha kusema tu kuwa anazo sifa muhimu zinazotosheleza kuteuliwa katika nafasi hiyo, basi.
Hahahaha mkuu ndo hivo tushaambiwa ana sifa zote, tusihoji!!!!!
 
Back
Top Bottom