DC wa Kibaha, Tatu Seleman Kikwete ni ndugu wa rais mstaafu?

Magufuli ni Mtu alietushinda kwny Uchaguzi lakini Jakaya Kikwete ni Mtu alietufanya tushindwe Uchaguzi-Fahim Dovutwa akihutubia Uwanja wa Biafra kwny Maboresho ya Jeshi la Polisi.
Kwa kuwa Jakaya ndie Kiumbe pekee kilchofanya wapinzani washindwe tujiandae kusikia Mengi yamhusuye ya Uongo na ukweli
 
Chwiii, chwiii, chwiii! Panya kabanwa na mlango....!?!
Mtu kauliza; Ni ndugu wa rais mstaafu?
Jibu lake ni moja kati ya haya matatu:
Sijui, Ndiyo au Hapana.
Badala muache anayejua ajibu, imekuwa kama paka kaingia kwenye chumba kilichojaa mapanya! Bonge la mtafutano.
Mbona swali liko wazi hivo?! Kama hamjui acheni wanaojua watajibu, kiwewe cha nini sasa? Au mmetambua mmefumaniwa?! Chwiii chwiii chwiii...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom