DC wa Iringa Richard Kasesela akila muhindi

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
505
375
468c0f72c73b51fa8f370df820b09d52.jpg


Huyu jamaa nahisi hata akienda choo cha public ataita waandishi na apost " nikinya vyoo vya wananchi wangu"

Cheki hiyo picha
 
Duuh... Mtaharibu kibarua cha watu mwacheni wandugu..ataishia kulia lia tena kama dk
 
hilo jina lako limepata baraka za sadifa ? jiangalie mkuu , ccm hawaachiani maji mezani .
 
Rais anataka wachapa kaz na sio wala mahindi kwan mahindi si yanamsaidia yeye na tumbo lake na sio wananchi wake
 
Back
Top Bottom