mgombea uvccm2017
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 505
- 376

Huyu jamaa nahisi hata akienda choo cha public ataita waandishi na apost " nikinya vyoo vya wananchi wangu"
Cheki hiyo picha
Richard Piga kazi mkuu. Achana vibaraka wa mbunge tapeli wa kawaida. Utendaji wako umetukuka na kazi inaonekana ni wivu tu.![]()
Huyu jamaa nahisi hata akienda choo cha public ataita waandishi na apost " nikinya vyoo vya wananchi wangu"
Cheki hiyo picha
Kweli mwanangu apige kazi aache kuuza suraRichard Piga kazi mkuu. Achana vibaraka wa mbunge tapeli wa kawaida. Utendaji wako umetukuka na kazi inaonekana ni wivu tu.
![]()
Huyu jamaa nahisi hata akienda choo cha public ataita waandishi na apost " nikinya vyoo vya wananchi wangu"
Cheki hiyo picha
Hapa akipiga kazi na wananchi wakeHapa akiendesha baiskeli na wananchi wake waView attachment 333597 kawaida
Acha kabisa, yaani ngano itakoboleka lakini upumbavu utabaki palepale