Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,273
Hayo maneno yanamuudhi bibi yetu, anaona 2020 haifiki, muda wa kukata suruali na kuvaa makobasi magogoni imehamia msoga. Sasa ni kazi tu.vipi bibi, serikali ya parokia imekukasirisha nini?
Hapakazi tu, watendaji wazuri ndo walio na wanaoendelea kuteuliwa
Usishangae akahamia cuf, ingawa damu yake ya kijani.