ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,115
- 49,833
Vijana msio na pesa Kuna ujumbe wenu hapa kutoka Kwa DC.
=======
MKUU wa Wilaya ya Songwe, Solomon Itunda amewataka vijana kuacha kubabaika na kupagawa na wanawake wenye makalio makubwa (mizigo) hali inayosababisha kuhonga mpaka mitaji yao ambapo amewakumbusha kuwa baadhi ya mizigo ina gharama zake ikiwemo kufilisi vijana mitaji na hata kupata magonjwa.
Itunda amesema hayo wakati wa kongamano la kujadili namna ya kuzuia ajali wilayani humo lililowahusisha zaidi ya vijana 1,000 ambao ni madereva wa bodaboda, bajaji, guta, noah na taksi lililofanyika katika Mji wa Mkwajuni ambapo amesema wakati mwingine madereva husababa isha ajali kutokana na kuwaangalia wanawake hao wakati wao wakiwa wanaendesha