Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,622
- 28,562
Siyo kukeketa, kugecha.Mleta mada nasikia huko mnakeketa sana watu ,
Siyo kukeketa, kugecha.Mleta mada nasikia huko mnakeketa sana watu ,
Hivi huyu bado anadai serikali tatu?Kumbe tayari kesharepoti Musoma? Njaa mbaya sana nilidhani bado anatafakari na kujipima kwanza!
Ndio anachoogopa hichoSiyo kukeketa, kugecha.
Una uhakika kabisa kuwa mh.DC alitoka kwake na askari kwa ajili tu ya kwenda supermarket?Waungwana,
Niko hapa Musoma, nilishangazwa sana na kitendo cha Mkuu wa Wilaya ya Musoma Ndg. Humphrey Polepole kwenda kufanya manunuzi katika duka la Alpha Choice akiwa na kundi kubwa la maafisa wa polisi.
Ndugu DC tunakukaribisha Musoma na kukutaarifu kuwa Mkoa wa Mara una amani, hakuna ulazima wa wewe kutembea na mapolisi hata unapoenda sehemu kama hizo...
Ondokana na ile old fashioned paranoia ya kutembea na mapolisi wakati wananchi wanawahitaji hao mapolisi wawalinde mtaani...
Muunge Mkono Rais kwa kubana matumizi kwani kuwa na misafara kwenda shoping ni gharama kubwa kwetu walipa kodi...
Itetendee haki spirit uliyokuwa nayo wakati wa mchakato wa katiba...
Kukagua bidhaa? Hiyo ndio kazi yake kweli? Watanzania banaMapema mno labda alienda kukagua bidhaa zilizokwisha muda wake,maanawafanyabiashara wengi majipu,ila kama kaenda kwa kujiomesha ametokota ila tumpe muda tuone kazi ya kusaidia wilaya yake mpya
hii ya kijana kupangua kombora kwa Rungu nimeichukua mkuu , naipeleka rasmi nyumbani kwetu kyela .Mwambieni mkurya haogopi polisi, mwanamama tu alimnyang'anya jambazi bunduki. Kijana analipangua kombora kwa rungu.
Hata hivyo kuamini habari zako tuwekee picha inaweza kuwa rongo yako.
Msichoelewa ni kuwa hayo madaraka na mamlakaka ya kuwa na hao askari anayo.Pia bado ni mgeni akizowea mitaa atapunguza idadi na sio sheria kukata mitaa akiwa peke yake lazima awe na ulinzi.Ninavyomjua Polepole anao uelewa wa mambo mengi ila lazima atofautishe maeneo na maeneo.Wakazi wa mkoa huo ni wakarimu na hawana chuki na wageni ila hawatishiwi nyau hilo alielewe.Hawapendi unafiki hivyo atofautishe na Dar alikotokea.Kodi zetu zinatumiwa vibaya na hawa makada!