Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,025
- 285,558
kwa hiyo kumbe hata yeye ni mzigo siyo ! hii ndiyo ile inaitwa utakula maneno yako .Ma-DC na Ma-RC ni mzigo kwa Taifa - H. PolePole, 2014.
kwa hiyo kumbe hata yeye ni mzigo siyo ! hii ndiyo ile inaitwa utakula maneno yako .Ma-DC na Ma-RC ni mzigo kwa Taifa - H. PolePole, 2014.
Waungwana,
Niko hapa Musoma, nilishangazwa sana na kitendo cha Mkuu wa Wilaya ya Musoma Ndg. Humphrey Polepole kwenda kufanya manunuzi katika duka la Alpha Choice akiwa na kundi kubwa la maafisa wa polisi.
Ndugu DC tunakukaribisha Musoma na kukutaarifu kuwa Mkoa wa Mara una amani, hakuna ulazima wa wewe kutembea na mapolisi hata unapoenda sehemu kama hizo...
Ondokana na ile old fashioned paranoia ya kutembea na mapolisi wakati wananchi wanawahitaji hao mapolisi wawalinde mtaani...
Muunge Mkono Rais kwa kubana matumizi kwani kuwa na misafara kwenda shoping ni gharama kubwa kwetu walipa kodi...
Itetendee haki spirit uliyokuwa nayo wakati wa mchakato wa katiba...
Hukumbuki kuwa kipindi anamponda mamvi walimtishia kumuua? Yaani UKAWA ni genge la wauaji, yaani hata Dr Slaa walitaka kumuua, na ndiyo mlikuwa mnataka kupewa nchi, shame on you all! Na hamtafanikiwa!Anahisi kuwa na maadui wengi sana, sijui kwa nini?
Yaani ni kula "MATAPISHI YAKO" ndiyo hiyo sasa.kwa hiyo kumbe hata yeye ni mzigo siyo ! hii ndiyo ile inaitwa utakula maneno yako .
Halafu usalama wa taifa ukawaacha wahalifu wanadunda mtaani, wanagombea uongozi wa nchi na yumkini wengine ni wabunge. Shame on you and your co-nincompoop governmentHukumbuki kuwa kipindi anamponda mamvi walimtishia kumuua? Yaani UKAWA ni genge la wauaji, yaani hata Dr Slaa walitaka kumuua, na ndiyo mlikuwa mnataka kupewa nchi, shame on you all! Na hamtafanikiwa!
nilianza kumchunguza baada ya jina lake kuwemo kwenye tume ya warioba , kwamba kwanini ateuliwe polepole niachwe mimi erythrocyte ?Kumbe ni kweli huyu bwana alikuwa kada wa ccm?