DC Polepole aenda Supermarket na Kundi la Polisi

Jamani muacheni afaidi kausotea sana huo ukuu. Kwa kujitoa ufahamu kote kule ana haki ya kutembea na msafara. Madaraka matamu, toka Carina hadi v8 sio mchezo
 
Msameen bure ni kaz yake ya kwanza kwenye nyadhfa za juu kama hzo
 
Waungwana,
Niko hapa Musoma, nilishangazwa sana na kitendo cha Mkuu wa Wilaya ya Musoma Ndg. Humphrey Polepole kwenda kufanya manunuzi katika duka la Alpha Choice akiwa na kundi kubwa la maafisa wa polisi.

Ndugu DC tunakukaribisha Musoma na kukutaarifu kuwa Mkoa wa Mara una amani, hakuna ulazima wa wewe kutembea na mapolisi hata unapoenda sehemu kama hizo...

Ondokana na ile old fashioned paranoia ya kutembea na mapolisi wakati wananchi wanawahitaji hao mapolisi wawalinde mtaani...

Muunge Mkono Rais kwa kubana matumizi kwani kuwa na misafara kwenda shoping ni gharama kubwa kwetu walipa kodi...

Itetendee haki spirit uliyokuwa nayo wakati wa mchakato wa katiba...
ama kwa hakika ukitaka kujua tabia ya mtu basi mpe hela , huyu polepole huyu aliyekuwa anatembea kwa mguu kwenda kupiga deiwaka chanel 10 leo anakusanya polisi wampeleke kununua chocolate !
 
Waungwana,
Niko hapa Musoma, nilishangazwa sana na kitendo cha Mkuu wa Wilaya ya Musoma Ndg. Humphrey Polepole kwenda kufanya manunuzi katika duka la Alpha Choice akiwa na kundi kubwa la maafisa wa polisi.

Ndugu DC tunakukaribisha Musoma na kukutaarifu kuwa Mkoa wa Mara una amani, hakuna ulazima wa wewe kutembea na mapolisi hata unapoenda sehemu kama hizo...

Ondokana na ile old fashioned paranoia ya kutembea na mapolisi wakati wananchi wanawahitaji hao mapolisi wawalinde mtaani...

Muunge Mkono Rais kwa kubana matumizi kwani kuwa na misafara kwenda shoping ni gharama kubwa kwetu walipa kodi...

Itetendee haki spirit uliyokuwa nayo wakati wa mchakato wa katiba...
Kwani polisi hawaruhusiwi kwenda Super Market? Isitoshe "...ametembea" nao tu.
 
mambo ya musoma hayo Magesa vs polepole unaweza kukuta mkuu wa wilaya ana ulinzi mzito kuliko mkuu wa mkoa
 
Waungwana,
Niko hapa Musoma, nilishangazwa sana na kitendo cha Mkuu wa Wilaya ya Musoma Ndg. Humphrey Polepole kwenda kufanya manunuzi katika duka la Alpha Choice akiwa na kundi kubwa la maafisa wa polisi.

Ndugu DC tunakukaribisha Musoma na kukutaarifu kuwa Mkoa wa Mara una amani, hakuna ulazima wa wewe kutembea na mapolisi hata unapoenda sehemu kama hizo...

Ondokana na ile old fashioned paranoia ya kutembea na mapolisi wakati wananchi wanawahitaji hao mapolisi wawalinde mtaani...

Muunge Mkono Rais kwa kubana matumizi kwani kuwa na misafara kwenda shoping ni gharama kubwa kwetu walipa kodi...

Itetendee haki spirit uliyokuwa nayo wakati wa mchakato wa katiba...
Hahahaaaaaa maigizo yanaendelea
 
Wakuu wa wilaya hawana misafara ya polisi unless wako kwny ziara, so labda walikuwa wako njiani wakienda au wakitoka somewhere wakasimama kwa mambo binafsi
 
Waungwana,
Niko hapa Musoma, nilishangazwa sana na kitendo cha Mkuu wa Wilaya ya Musoma Ndg. Humphrey Polepole kwenda kufanya manunuzi katika duka la Alpha Choice akiwa na kundi kubwa la maafisa wa polisi.

Ndugu DC tunakukaribisha Musoma na kukutaarifu kuwa Mkoa wa Mara una amani, hakuna ulazima wa wewe kutembea na mapolisi hata unapoenda sehemu kama hizo...

Ondokana na ile old fashioned paranoia ya kutembea na mapolisi wakati wananchi wanawahitaji hao mapolisi wawalinde mtaani...

Muunge Mkono Rais kwa kubana matumizi kwani kuwa na misafara kwenda shoping ni gharama kubwa kwetu walipa kodi...

Itetendee haki spirit uliyokuwa nayo wakati wa mchakato wa katiba...
Ha ha ha!!!! Labda anaogopa maana huko nako mnatisha sana!!!!
 
Mtoa mada / post kumbuka humu kuna watu wenye elimu na uelewa wa kutosha. Kama kweli Polepole alikwenda shopping na kundi la askari basi eleza aliwachukua kwa kazi gani. Lakini kujaribu kusema tu kwamba ni msafara wake wa mizunguko ya kawaida.... Please!
 
Anatembea na police?nayee n jibu anatakiwa kutumbuliwa..mvujaji wa Mali ya umma na matumiz mabaya ya madaraka.
 
Huyu dc ndio mtumishi hewa ,hana barua ya kuthibitishwa kazini waanze kumkagua yeye
 
Back
Top Bottom