DC Polepole aenda Supermarket na Kundi la Polisi

DC Polepole aenda Supermarket na Kundi la Polisi

Tuliambiwa kuna maisha Baada ya uchaguzi watu waka dharau sasa analindwa kuliko RC!!?

Mpk hotel anayo lala polisi wana smg
 
  1. Polepole ameusotea sana U Dc. Alikua anakesha Channel 10 kunmnanga Lowassa kipindi cha Uchaguzi Mkuu.
 
#Bukanga acha unafiki wa kijita mura. Hayo mambo ya kufatilia wanaume wenzako hayakufai.
 
hacha majungu, onesha picha, kudhihirisha unacho sema.lakini pia Dc kutembea na askari kinaathiri nini?
 
Nimgeni na hayo madaraka pia nahisi ni makubwa mno kwake.Pia katika wakuu wa wilaya watakao wahi kuondolewa atakua yeye maana anaamini katika serikali tatu na anaamini pia kwamba wakuu wa wilaya ni mzigotu kwa serikali
 
Huyu jamaa kahemea hicho cheo jamaniiii..... da na amekipata. Kumbe hata ile katiba alikuwa anapigania ilikuwa ni bure mno. Huyu jamaa ni mpenda madaraka hicho cheo hajaridhika nacho anataka uwaziri, simpendi kwa sababu ni ndumilakuwili
 
Back
Top Bottom