Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,783
- 40,558
Ni mtoto wa kwanza wa jaji mstaafu lubuva kwaninavyo fahamu huyu DC amejichoka
Ni mtoto wa kwanza wa jaji mstaafu lubuva kwaninavyo fahamu huyu DC amejichoka
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aron Mbogho ameamuru kuwekwa mahabusu kwa saa 24, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED), Zefrin Lubuva akimtuhumu kufanya makosa mbalimbali.
Mbali na Lubuva, adhabu hiyo imemkumba pia kaimu mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mwanga, Justine Valentino.
Lubuva ashastaafu DC kashika makaliNi mtoto wa kwanza wa jaji mstaafu lubuva kwaninavyo fahamu huyu DC amejichoka
Mpk aliyetangaza matokeo ya uchaguzi uliomuweka mzee baba, mtoto wake amewekwa ndani?Ni mtoto wa kwanza wa jaji mstaafu lubuva kwaninavyo fahamu huyu DC amejichoka
Kweli huyo ni 'Mbogo' yaache yaparurane tu! Utawala uliofitinika!Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aron Mbogho ameamuru kuwekwa mahabusu kwa saa 24, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED), Zefrin Lubuva akimtuhumu kufanya makosa mbalimbali.
Mbali na Lubuva, adhabu hiyo imemkumba pia kaimu mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mwanga, Justine Valentino.
Mbona Walikatazwa Haya Mambo
mafuta yapo ya aina nyingi.Ngoja tuone nani atakuwa anampa uyo DC mafuta.
Namanisha grecelinemafuta yapo ya aina nyingi.
Hii sifa ya nyongeza ya ded kuwa tiss sio kweliili tupate kuelewana vizuri, DED mteule wa rais, DC mteule wa rais, si wanasemaga DED huwa ni.lazima awe mwana CCM na DC pia, ila DED ana sifa ya nyongeza tiss.ccm
Huyo Mzee alichotufanyia watz Mungu anamuona atutomsahauwatakua ma lubuva juniors senior ni kale kazee na ki sauti chake cha njaa!!
Ded sio tissMteule wa rais anapoamua kumuweka ndani mteule wa rais haya kanyaga twendee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Madaraka oyeeeeMkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aron Mbogho ameamuru kuwekwa mahabusu kwa saa 24, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED), Zefrin Lubuva akimtuhumu kufanya makosa mbalimbali.
Mbali na Lubuva, adhabu hiyo imemkumba pia kaimu mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mwanga, Justine Valentino.